KatetiMQ
JF-Expert Member
- Sep 25, 2022
- 249
- 506
WANAUME TUKUMBUSHANE
NGONO(SEX) ni Nzuri sana Ila inakuzwa ndivyo Sivyo. Wanawake wanaikadiria juu sana,nguvu ya ngono (sex). Wanaitengenezea mazingira ya kua kama mradi mkubwa sana. Kutokana na ukubwa wa nafasi ya uongozi waliojiwekea katika hii sekta.😎😎🤣
Wanaamini ngono ndio kitu cha kwanza na cha msingi sana kwa mwanaume kiasi kwamba hakuna kitu mwanaume anaweza fanya bila sex.🥸 Kwamba mwanaume anataka mapenzi tu kwao.😋
Imefikia imefikia hatua kiasi kwamba ukijaribu kumwita mwanamke, jambo la kwanza kufikiria ni ngono tu.🥸
Na akifikiria kuja kwako, kinachomjia kichwani ni sex tu.😋🥸 Akitaka kukuhadaa au kukurubuni (manipulate) atafikiria ngono tu.
Hata ukimsaidia kwa kitu chochote,akifikiria namnna ya kukulipa. Mara nyingi akili yake ni ngono tu ndio offer ya mwisho🥸
Asilimia kubwa ya wanawake wanaamini wanaume wanataka ngono. Tu kwamba hakuna kitu wanaweza fanya bila sex. Kama vile ngono ni muhimu Kama vile hewa ilivyo.🥸😎
Wazo hili wanalitumia kuwahadaa wanaume, ili kuingiza matakwa yao. Na mahitaji yao mtego huo unamwingiza mwanaume katika kupungukiwa zaidi ya kupokea na kuingiza (gain).
Lakini unajua nini?
Mwanamkae akigundua haupo interested na sex toka kwake, wala hauzinguliwi na mnyumbuliko wa maungo yake. Wala hautikiswi na utupu wake. Basi anakua amepoteza nguvu kwako, anakua ameshindwa kabisa pambano maana unakua umemvua silaha zake zote.🥸😎
Ndio maana unapaswa uiendeshe tamaa yako ya ngono, sio nguvu ya ngono ikuendeshe 🧐🧐 NGONO ni nzuri ila inakuzwa ndivyo sivyo. Akili ikiridhika kwamba hio. Ni starehe ya dakika chache. Itakayokuacha mtupu kama mjusi aliyeanguka toka mtini,anavyokua anahema kwa wenge baada ya kukojoa.
Inaweza kukuacha na msongo, na majuto vilevile. Kisichojulikana no kwamba, wanawake wanahitaji na kupenda mno ngono kuliko wanaume. Na ndio wanaoifurahia sana kuliko wanaume ndio maana kutwa kucha wapo wanahangaika kubadili miwa.😇🤠
Hadaa zao zimefanya wamegeuza mchezo, na inaonekana sasa kama wanamfanyia favor sana mwanaume anayelala nae. Ndio maana ukigombana kidogo na mwanamke wako,Maneno yake makubwa ni kua after All i did for you? Yaani anajitapa kuakea mambo yote aliyokutendea.
Na atahesabia ngono Kama moja ya mambo,aliyokutendea na ijapokua yeye ndio alifurahi zaidi. Yaani amekufanyia bado nauli ulituma wewe, na bill zingine ulilipa wewe kimtindo hii ni mind game, mwanaume mzembe hio ni counter attack na goli ushapigwa.
Ondoa ngono kwenye huo muunganiko wenu, hakuna kitu utagundua mwanamke anacho offer zaidi, na maneno maneno ya uongo ili ukae kwenye mfumo vizuri.
Man, be aware of women sexual manipulations. Control your sexual urge.