koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,789
- 10,388
Jamaa kamdanganya girlfriend wake kuwa anasomea HOTEL MANAGEMENT. Siku huyo girlfriend akamkuta jamaa anaosha vyombo kwa MAMA NTILIE. Girlfriend
akamuuliza
jamaa
“baby
vipi mbona
uko hapa?”
Jamaa bila woga akajibu
“NIPO FIELD.
MWANAUME ACHA AITWE MWANAUME
akamuuliza
jamaa
“baby
vipi mbona
uko hapa?”
Jamaa bila woga akajibu
“NIPO FIELD.
MWANAUME ACHA AITWE MWANAUME