Egyps-women
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 497
- 107
Enhe afu ikawaje?
Weekend njema na wewe pia.
Kwahiyo sasahivi una mwanaume nota ambaye ni noma au sio noma? Kama sio noma maana yake sio mwanaume au?
PM zinaruhusiwa, lakini Mimi ni mwanaume noma!!
sasa sweetlady appointment yangu na yeye ingeishia kubanjuana ...mie nishaona wanakulana denda na mtu mwingine..nilisepa mpaka kesho..
Nilichofanya pale nilipita na kumwambia habari gani ? nikaishia zangu
Ahaaaa!!! Kumbe ndio mchezo wako eeee??? Ngoja nije na ya wanawake.
Kwingine wapi tena..... Tuma PM hapa kwa biggie ili akuondolee machungu ya zilipendwa....Kwahiyo sasahivi una mwanaume nota ambaye ni noma au sio noma? Kama sio noma maana yake sio mwanaume au?
PM zinaruhusiwa, lakini Mimi ni mwanaume noma!!
Bigirita Pm zako zinaruhusiwa kwingine si kwangu love....mie kuna mmoja tu akinitumia ndio nitapokea kwa moyo mweupe kama whitedent
Kwingine wapi tena..... Tuma PM hapa kwa biggie ili akuondolee machungu ya zilipendwa....
Usikatae, zilipendwa bado una machungu nae sana!!
sasa sweetlady appointment yangu na yeye ingeishia kubanjuana ...mie nishaona wanakulana denda na mtu mwingine..nilisepa mpaka kesho..
Nilichofanya pale nilipita na kumwambia habari gani ? nikaishia zangu
Siku hiyo hali ya hewa ilikuwa ni baridi sana...nikiwa nimepanga kukutanana Boyfriend miaka hiyo..
Mara nikapita sehemu mida ya saa kumi nakumbuka miadi yangu kukutana na Zilipendwa yule ilikuwa saa moja
Ghafla namuona my mupenzi kakumbatia binti huku wanakulana denda..
miaka saba iliyopita ...ikawa ndo mwisho wa miadi
*******************************
PM no..labda yule jamaa ninayemzimia only...
weekend njema
Wanatofautiana hapo ungesema "kumbe J ndo alivyo" ila ukitujumuisha unakosea shem...
sorry Erick52