Kwanin wabongo tunadhani kukoment ujinga ni ujanja?Bandika magazeti ukutani mkuu.
Ushauri wa maana ukoje mkuu?kwanin wabongo tunadhani kukoment ujinga ni ujanja?
πππππakikaa siku tatu tu utatafuta njia ya kumtoa.
Ayseee..Kakikaa wiki unatamani namna ya kukaondoa
Iko shida...akikaa siku tatu tu utatafuta njia ya kumtoa.
Ngoja wadanganyaneeAyseee..Iko shida...
Kwani gheto ni nini?Gheto ni nyumba yoyote ambayo unaishi single!Huu ni mjengo lakini
Naunga mkonoKwani gheto ni nini?Gheto ni nyumba yoyote ambayo unaishi single!
matumbo yakishakuwa mawili tu, kwa mshikaji ambaye mishe hazisomi 100% unabwaga zaga.Ayseee..Iko shida...