Wanaume ni vitu gani vya kumdatisha mdada ili arudi tena pia atamani kuishi kabisa kwenye geto lako?

Fanya kamtolee mahari oa kabisa ..unataka ahamie muendelee kuzini baharia..!!!..
Akamtolee mahari ili amuoe. Ili wasizini.

Mwanamke kuolewa ni kama kupata ajira. Kila kitu kimhusucho atambwagia mumewe. Plus status ya kuwa kaolewa.
Sio kuogopa dhambi.

Kabla ya kuolewa alikuwa anaumiza kichwa kuanzia kichwani(kama ni rasta) mpaka avaacho mguuni. Anaposema "nioe ili tusizini" ni mbinu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…