Wanaume ni vitu gani vya kumdatisha mdada ili arudi tena pia atamani kuishi kabisa kwenye geto lako?

Mkuu kwa maelezo yako ni kwamba we bado mdogo maana mawazo yako hayajakomaa, unawaza kumdaditisha demu kupitia getho?

Kuna mdau kakushauri utafte hela kwanza si kwamba amekosea ameona akili yako bado.

Mwanamke anayekupenda atakuja tu kwako regardless getho likoje au unaishije.

Pole.
 
Yaani anajionyesha jinsi alivyo bonge la fala na pimbi wa kutupwa...
kisamehe tu hicho KIAZI kikuu cha Taifa ila najua amefollow thread ila hatak aonekane amefollow kwa sababu kama post haikusaidii unacoment ya nin sasa
 
Kuna ile michoro sikuhizi wanaspray na zile spray za magari wanaspray kwenye magheto gheto linapendeza kinyama yani nikikuta gheto limesprayiwa michoro ya rangi ukutani hua ninapagawa kabisa[emoji39] nakuwa mwehu yan kama nimepigwa shoti
Na pia nikikuta mashuka masafii , duvet na kunanukia mwee naeza toa kama yotee[emoji16][emoji85] pia kuna ile mishuma yenye harufu ile inauzwa moja elfu 10 inakua na harufu tofauti nikikuta imewashwa maghetoni gheto linanukia hua nachanganyikiwa mwee hapo sasa iwake afu mkiwa mezima taa uku mnaangalia romantic movie kama ile mr and mrs mweee ni hatari sana wakaka mjiongeze bye[emoji41]
 
Viwepo vitu vya kumfanya akiselfie aweze kupost insta na status whatsapp.

Hiyo ni kwa slay queens.

Kwa hizi kazi za kienyeji hakikisha una godoro na sub woofer
 
Kwamba feni, gas na chakula unahesabia km asset za ghetto duh mkubwa akili yako bado haija mature .... Tafuta Sana hela arifu..
hela nnazo dogo tena
Kwamba feni, gas na chakula unahesabia km asset za ghetto duh mkubwa akili yako bado haija mature .... Tafuta Sana hela arifu..
msikie zwazwa mwingine huyu kwan kuna mahali nmeandika sina hela alaf kwa akil yako ulichojib kinaendana na mada hapo juu? mada inahitaji suggestion(mapendekezo)sas wew unaniambia ntafute hela we sema tu umefollow thread.
 
Shukrani
 
hela nnazo dogo tena

msikie zwazwa mwingine huyu kwan kuna mahali nmeandika sina hela alaf kwa akil yako ulichojib kinaendana na mada hapo juu? mada inahitaji suggestion(mapendekezo)sas wew unaniambia ntafute hela we sema tu umefollow thread.
Sasa kweli gas ,feni na chakula ni asset ... we utakua unakaa Uswahilini ... Hela huna ww ... Acha maneno mengi ..tafuta hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…