Wanaume ni vitu gani vya kumdatisha mdada ili arudi tena pia atamani kuishi kabisa kwenye geto lako?

Unachopenda tamani wengine wanaona tatizo...., hao wanaobabaika sababu ya kuona ghetto kuna nini na hawataki kuondoka sidhani kama ni wa kuwaentertain..., in short ni kukaribisha matatizo tu....

Muige Eddy Murphy Coming to America...,
 
Hahahahaaaa...!!yamenikuta yan...nmepakua wiki 2....sasa mtu kutoka hataki...!!yaan akikaa sana siku 2 anarudi tena....namvizia nihame [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pika pakua pakuana za siku 3 ni kama wako honey moon to the moon ila sasa baadae
 
Hahahahaaaa...!!yamenikuta yan...nmepakua wiki 2....sasa mtu kutoka hataki...!!yaan akikaa sana siku 2 anarudi tena....namvizia nihame [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapo zinapangagwa safar za ghafla πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hapo unapopakwepa ndo penyewe.

Ishu inaanzia kitandani
 
M kwa upande wa kichuchuo gheto lazma uwe na
kitanda na godoro at least 4/6
sabufa
vifaa vy kupikia
meza lbda na vit 2
Pc au ka flat
msosi
treys

Stands za viatu
Baadh ya mikoa Hamna haja ya jokof Wala fan.
Flat na TV stand
boksi la kondom
 
The bluututh divaizi is rede to pear[emoji23][emoji23].vikose vi2 vyote lakin sio haka kakifaa.
Mimi nipo tayar kulala chini ila haka kakifaa kasikose geto na kakikosa geto ujue iyo si geto bali ni nyumba ya kulala wageni.
 
Wachana na maghetto, wewe tafuta helaaaaaaaaaaaaaaa
 
Gheto liwe kubwa spacious,kuwe na flat kubwa ya Tcl na dstv au azam,kabati la mbeo,dressing table uweke na vitu vya kike vingi, feni panga boy, picha za ukutani za frema iwemo na ya uyo unaemlenga, jiko la gesi zuri, music systeam, ka kampyuta, brenda,
Liwe safiiii taa za kudizain flani, ma airfreshi n.k kitanda kama cha hotel hiv sita kwa sita
 
M kwa upande wa kichuchuo gheto lazma uwe na
kitanda na godoro at least 4/6
sabufa
vifaa vy kupikia
meza lbda na vit 2
Pc au ka flat
msosi
treys

Stands za viatu
Baadh ya mikoa Hamna haja ya jokof Wala fan.
Flat na TV stand
boksi la kondom
umetisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…