Wanaume ni watu wa ajabu kweli

Wanaume ni watu wa ajabu kweli

INJECTION TECHNICIAN

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2020
Posts
356
Reaction score
794
Na kucheka kote huko mpaka kuwekwa duara unaweza kukuta hawajuani majina wala wanapoishi.

Kongole wanaume.

Using tayari😆😆

20221211_221709.jpg
 
Hela ya kodi nainywea pombe... nimeachwa sitaki tena maswali naenda beach kula upepo wa bahari

Basi nitongoze

Unanitaka
Unanipenda eti unanitaka

Basi nitongoze
 
Na msela wangu nawasiliana nae miaka miwili hadi leo nimemsave jina mkuu kutokana na stori zake huwa anapenda kuniita mkuu na miaka miwili yote had leo yule jamaa sijuagi jina lake
 
Kuna jamaa nilikua napiga nae deiwaka ya kupakua bia kwenye gari za SBL....
Tulipiga story na kuchapa kazi mpaka jioni wakati wa kuchukua posho yetu..aliniongezea 5k,kumbe yeye alikua tandboy/tingo kwenye hile scania...alikua anakaa upande wa kushoto kwenye ile gari

sijawahi mjua jina,hajawahi nijua jina nilimsevu LEFT HAND,Ni miaka mi5 mpaka leo tunawasiliana yupo singidani....oya mkuu left hand kama upo humu nakukubali sana
 
Maskani nyingi wanaume mnaweza mkawa mko pamoja miaka kadhaa na msijuane majina yenu halisi ni mwendo wa nicknames mnatambuana kwa majina ya utani au yale ya kitaa. Na mishe na michongo zinaenda kama kawaida haina mba-mba-mba!
 
Back
Top Bottom