Wanaume ni watu wazuri sana duniani

Wanaume ni watu wazuri sana duniani

Embu funguka yaliyokusibu hadi ukaishia kutuletea huo utafiti.
 
Halafu mtu anapo niambia eti nimetoka ubavuni sijui kwa nani ili hali mimi najua nilizaliwa na mama yangu na baba yangu mi huwa sipendi ni vile tu hajui
 
Halafu mtu anapo niambia eti nimetoka ubavuni sijui kwa nani ili hali mimi najua nilizaliwa na mama yangu na baba yangu mi huwa sipendi ni vile tu hajui
[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
 
Hapo upendo wa mume kwa marafiki wa mke wake unatia mashaka maana urafiki wa KE & ME unahitaji moyo vinginevyo shetani atawajaribu tu ndio maana mke hataki huo ukaribu wa mashosti wake na mumewe kwan anatambua fika ukimuweka mbuga moja simba na swala ipo siku tu simba atafanya yake
 
Kama umeoa safiri miezi 6 kisha rudi na mkeo asafiri miezi 6 pia kisha usisahau nyumbani asiwepo mtu mwingine kisha tafuta jibu nani akiondoka nyumbani panapyaya
 
Back
Top Bottom