Bi dentamol
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,039
- 2,190
Mlaumu Mama Duly kawaambia kila mbuzi atakula kwa urefu wa kamba yake 😂😂😂.Najua sio wote wenye jii tabia ila naimani wenye tabia hii mpo na humu
Kipi upelekea ukawa na mahusiano na watu wa karibu na mkeo??
Yan wewe hauoni mbali ni marafiki wa mkeo, majiran waliokaribu na mkeo ..yan mkeo akicheka na mtu leo kesho ushachapa
Je labda mke kuna mahali anafel au shida nn jaman?
😅😅 Fimbo ya karibu inaua nyoka, umeletewa msosi karibu, chakula cha mbali cha kazi ganiNajua sio wote wenye jii tabia ila naimani wenye tabia hii mpo na humu
Kipi upelekea ukawa na mahusiano na watu wa karibu na mkeo??
Yan wewe hauoni mbali ni marafiki wa mkeo, majiran waliokaribu na mkeo ..yan mkeo akicheka na mtu leo kesho ushachapa
Je labda mke kuna mahali anafel au shida nn jaman?
Sasa jukwaa la mapenzi unataka tupost nini bwashee?Huna kitu kingine cha kupost tofauti na mapenzi kila siku?
Anataka kututoa kwenye uwepo tuHuna kitu kingine cha kupost tofauti na mapenzi kila siku?
Muulize mumeo?Najua sio wote wenye jii tabia ila naimani wenye tabia hii mpo na humu
Kipi upelekea ukawa na mahusiano na watu wa karibu na mkeo??
Yan wewe hauoni mbali ni marafiki wa mkeo, majiran waliokaribu na mkeo ..yan mkeo akicheka na mtu leo kesho ushachapa
Je labda mke kuna mahali anafel au shida nn jaman?
Hapa umetoa lawama kwa mume,yani umeangalia upande mmoja wa tatizo,Mi mwanamke....
Dada ukiona mumeo anachapa mpaka rafiki zako jua hapo huna ndoa Wala mume!!!!
Mume anaeshindwa kukuheshimisha kwenye jamii inayokuzunguka huyo haijui heshima yako Wala thamani yako kwenye hiyo ndoa.
Jifunze kwanza kuandiaka. Ohh nisamehe nilikua nimesahau kumbe shule zimefungwa badoNajua sio wote wenye jii tabia ila naimani wenye tabia hii mpo na humu
Kipi upelekea ukawa na mahusiano na watu wa karibu na mkeo??
Yan wewe hauoni mbali ni marafiki wa mkeo, majiran waliokaribu na mkeo ..yan mkeo akicheka na mtu leo kesho ushachapa
Je labda mke kuna mahali anafel au shida nn jaman?
Watakuja kusema,haya yote yanasababishwa kwa kula Ugali.Pole , hilo ni chaguo lako
Ugali upigwe marufuku , mtu unakula ugali na hauna kazi nzito ya kufanya lazima upige mkeWatakuja kusema,haya yote yanasababishwa kwa kula Ugali.
Unakula kama vile unanyonyesha!!Ugali upigwe marufu , mtu unakula ugali na hauna kazi nzito ya kufanya lazima upige mke