Marco Seth
JF-Expert Member
- Oct 21, 2022
- 5,373
- 6,904
Kwamba mwanaume hana kosa?Hapo utamlaumu mumeo bure ila kilichopo ni sexual market value competition kati yako na hao rafiki zako. Wanataka ku prove kuwa they can get the best just like you. Na siyo hao tu, huenda hata Dada zako, binamu ama wadogo zako wa kike signal zina search au fursa ilishajitokeza wakang'atana pasipo wewe kujua. Yote hayo yanaitwa "wivu wa kike". Mwanamke ndiye anaye control sex. Godforbid! ikitokea umeachana na mumeo, hao rafiki zako hawatakuwa na time naye.
Sex fantastic tu wengine wanapenda hivyo yaani vya karibu karibu...Najua sio wote wenye jii tabia ila naimani wenye tabia hii mpo na humu
Kipi upelekea ukawa na mahusiano na watu wa karibu na mkeo??
Yan wewe hauoni mbali ni marafiki wa mkeo, majiran waliokaribu na mkeo ..yan mkeo akicheka na mtu leo kesho ushachapa
Je labda mke kuna mahali anafel au shida nn jaman?
Mbususu tamu...vitu vitamu vinapendwaHuna kitu kingine cha kupost tofauti na mapenzi kila siku?
Thats it! Well said.Labla hujui kuifinyia kwa ndani
🤣😁Huna kitu kingine cha kupost tofauti na mapenzi kila siku?
Itakuwa tamaa ya pisi Kali za Rafiki wa mkeo!Najua sio wote wenye jii tabia ila naimani wenye tabia hii mpo na humu
Kipi upelekea ukawa na mahusiano na watu wa karibu na mkeo??
Yan wewe hauoni mbali ni marafiki wa mkeo, majiran waliokaribu na mkeo ..yan mkeo akicheka na mtu leo kesho ushachapa
Je labda mke kuna mahali anafel au shida nn jaman?
Ugali ni Asili ya Mwafrika,hauna baya kama baba ubaya!Ugali upigwe marufuku , mtu unakula ugali na hauna kazi nzito ya kufanya lazima upige mke
Sio kila sehemuUgali ni Asili ya Mwafrika,hauna baya kama baba ubaya!
Sawa,wapi panastahili ugali,?!Sio kila sehemu
Kwa wenye asili ya ugaliSawa,wapi panastahili ugali,?!
Kweli,ukiwapelekea comorro unga wa ugali,utafirisika dakika 1!Kwa wenye asili ya ugali
Kwa wenye asili ya ugali
Jibu ni rahisi, "close subsitute" kama kiu yako hukatwa na Fanta, siku ukiikosa utatafuta ladha inayokaribiana na hiyo possibly MirindaKipi upelekea ukawa na mahusiano na watu wa karibu na mkeo??
Wewe pigana na danga lakoNajua sio wote wenye jii tabia ila naimani wenye tabia hii mpo na humu