Wanaume hivi mna mapepo ya kupenda nanilino!!!🙁🙁
Wengi wenu mkifika benki akiona anahudumiwa na dada mrembo basi inakuwa tabu atajisemesha humoo, tena kwa sauti na kama kabinti kameingia kwenye 18 zake basi kana kuwa kanajichekesha, kanarudia rudia tu kuhesabu hela kwenye ile mashine yaku hesabia hela na hali hata hakuna iliyokwana alimradi kaendelee kuongea na kidume.
Kumbuka wakati huo sie akina NAHUJA tuko foleni tunasubiria huduma.
Nawauliza wanaume "mapepe" unashindwa nini kumpa simu yako umwambie aandike namba yake ya simu ili umtafute baada ya saa za kazi?