Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Makampuni ya simu hayajaziba gap hilo kwa mobile payments bado?Huku nimeona ATA zinazokubali kudeposit hundi tu, lakini haziruhusu kukupatia pesa taslim kwa hundi.
Nafikiri mabenki yangewekeza Zaidi kuhamasisha malipo ya mtandao Zaidi kuliko kutembea na pesa taslim.
Kama umenunua mabati au gari kwa mtu, anakupa bank details, unaingia online unafanya muamala mnamaliza biashara.
Mambo ya kutembea na maburungutu ya noti ndio chanzo cha mauaji kwa ujambazi usio na ulazima.