hahahhaUzinzi tu
Utafikiri jiwe
Ha hahahaIla mwanao akiwa domozege kayataka mwenyewe yaani mama mtu una mbinu hata jamaa wa benki umemshinda!!!
Wanaume mkuje
najua wew itakuwa age go,acha watoto mbatembate watongozwee.punguza wivu.Wanaume hivi mna mapepo ya kupenda nanilino!!!ππ
Wengi wenu mkifika benki akiona anahudumiwa na dada mrembo basi inakuwa tabu atajisemesha humoo, tena kwa sauti na kama kabinti kameingia kwenye 18 zake basi kana kuwa kanajichekesha, kanarudia rudia tu kuhesabu hela kwenye ile mashine yaku hesabia hela na hali hata hakuna iliyokwana alimradi kaendelee kuongea na kidume.
Kumbuka wakati huo sie akina NAHUJA tuko foleni tunasubiria huduma.
Nawauliza wanaume "mapepe" unashindwa nini kumpa simu yako umwambie aandike namba yake ya simu ili umtafute baada ya saa za kazi?
tupo bank tunakuja, subira ichukue nafasi
ha hahahUzinzi tu
Utafikiri jiwe
Uje na mahela
Nimwachie nani namba mkuu?!!!!!Siku nyingine ukiwaona wa hivyo we ukifika tu rahisisha acha namba uendelee na mambo mengine
hhaahahah, wanatuchelewesha wengine bila sababu muhimu, hahahahaahHaha hupendi mwenzako aliwe
ππππππππππππππππππππππππππOhhhppppssssss.....
Kumbe ndie wewe uliekua nyuma yangu pale Bank....[emoji53] [emoji53]