ilemi mahome
JF-Expert Member
- Jun 15, 2017
- 883
- 619
Wasituchelewese
hadi hapo ulipofikia ushachelewa sna.
Naomba ruhusa nipewe namba yako nikutumie mahela mie niache kusumbua bank tellers kusababisha foleni.
hahahahah, mmeamka salama wapendwa wangu?
[emoji23][emoji23][emoji23] Nimeruhusu upewe jamani halafu nimekumiss baba yeyoo
Sawa Mama Yeyoo. Tulikua kwenye mfungo wa Ramadhan ujue.
Jamani pole baba yeyoo kwa mfungo nimefurahi sana kukuona
Lakini Mama Yeyoo mbona unataka kunifanyia kama teller wa bank, kwanini tumsumbue Hemed wa watu wakati unaweza nifanikishia hilo la namba?
Baadae ntaweza kuonana nae leo.
Mzigua90 amekuuza kwa nani safari hii?
ndio mkuu kwenye ile jf.keUlikuwa na Kenya na wewe?
hahaaaa, baada ya kumaliza sasa,ushakaona tayari kuna safari ya kurudi chanika kwenu + foleni,aisee kama nakuona utakavoasikia uvivu.CRDB azikiwe(sio premier),kuna kadada keupe sijui kako under 20 kale,kazuri kinoma aisee..ngoja,nitafunga safari kutoka chanika mpaka posta kufanya banking ili nikamwone again
Nitavumilia tu,as long as nishamwona.hahaaaa, baada ya kumaliza sasa,ushakaona tayari kuna safari ya kurudi chanika kwenu + foleni,aisee kama nakuona utakavoasikia uvivu.
hahahahahahahalf usikute mtu kapeleka v laki2 vyake basi akifika anavimba
du!Kwa akili zako unatuona Wanaume wajinga sio??...TUNAANDAA MAZINGIRA YA MKOPO, kwahiyo lazima uwe na insider wa kurahisisha mambo. Ohooo
Hakika, kweli kabisa!!!!Ndivyo tulivyoumbwa