Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
π€£π€£π€£Ngoja nisubiri wazazi wake wafeπ€π€
Yatima aliyefiwa na wazazi wote na kulelewa na familia nyingne au kituo cha kulelea yatima,siyo mwenye mzazi mmojaSio kila yatima anakua hivyo Mimi sitaki kusimulia, kwanza unazungumzia yatima yupi anaeishi na Mama yake au aliefiwa na wazazi wote Mama na Baba?
Maana yatima au binti anaeishi na Mama yake alafu Baba kafari au wanakwambia tu Baba hajulikani jaribu kufuatilia tabia za Mama usije ukaoa bomu la dakika,
Yatima ni yule aliefiwa na wazaziawe mmoja auwote kwa pamoja, uliza swali lingine
Hao wakujilliza sana mkuu hawachelewi kulia kidogo Mama kidogo Baba ungekuepooo, Ila kwa kiasi fulani upo sahihi nilijua wale wanaolelewa na Mama mmoja yaan single mother Baba hajulikani alipo,Yatima aliyefiwa na wazazi wote na kulelewa na familia nyingne au kituo cha kulelea yatima,siyo mwenye mzazi mmoja
Hao ni hatari zaidi mkuuHao wakujilliza sana mkuu hawachelewi kulia kidogo Mama kidogo Baba ungekuepooo, Ila kwa kiasi fulani upo sahihi nilijua wale wanaolelewa na Mama mmoja yaan single mother Baba hajulikani alipo,
Unaongea nadharia na mwenye sredi anaongelea uhalisia anaoishi tushike lako la kusadikika.Unaweza oa yatima aliyepitia maisha magumu akawa na roho mbaya na kisasi ndani ukimkosea kukuloga au kukuua kwa sumu jambo jepesi. Unaweza muoa hajawahi pendwa na hajui upendo ni nini, unaweza muoa kakukubali kisa ana shida.
Ila most of the time yatima ni wake wazuri na wafanyakazi wazuri. Bibi yangu mmoja ni mkorofi kama nini hakai na wafanyakazi dukani kwake ila ilitokea akampata mdada ni yatima alidumu nae sana. Na huyo yatima alipanga kwa mama mdogo nikaenda kuwatembelea nikamkuta. Kukekule alikuwa mtulivu kuliko wapangaji wote.
Nina classmate rafiki yangu sana wazazi wake walikufa kaolewa na mwanajeshi. Yule jamaa aliyemuoa kajenga haraka baada ya kuoa, mke wake anadai hao kwao wasipojenga hawajui kesho. Na shughuli za ujasiriamali nyingi. Wale wanajeshi wengine wanalewa tu, jamaa mwenyewe mkewe kamkuta na map.umbu na visabufa miaka kibao kazini hana kitu.
Mke yatima wa tangu utotoni hana wa kumpa jeuri kwao, hana upendo wa kifamilia zaidi ya mume na watoto wake, hana kimbilio akiharibu ndoa yake. Ni rahisi kupenda wakwe zake na huyu mara nyingi aliomba Mungu apate mume mwema maana ndio betting pekee aliyobakiza duniani.
Probably hana mpango wa kukuacha na ukitaka kumuacha ni bora ufe.
Na migogoro mingi chanzo ni mama mkwe , hivyo binti yake anakuwa na kiburi cha hatari, hashikikiI guess kuoa yatima unaepuka ugomvi, migogoro na maneno ya mama mkwe.....
Wanawake kwakweli [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Oa yatima utakuja kunishukuru,hana wa kumdekea tofauti na wew mme wakeMara mwenye bikira, mara yatima , mara mwenye matako makubwa kichwani ni sifuri, which is which? Kuishi maisha mazuri ya ndoa ni bahati.
Mama mkwe + wifi = utajamba checheNa migogoro mingi chanzo ni mama mkwe , hivyo binti yake anakuwa na kiburi cha hatari, hashikiki
Sijakushika matako kukulazimisha ukariri nilichoandikaUnaongea nadharia na mwenye sredi anaongelea uhalisia anaoishi tushike lako la kusadikika.
πNgoja nisubiri wazazi wake wafeπ€π€