Wanaume oeni yatima, hamtojutia

Wanaume oeni yatima, hamtojutia

Sio kila yatima anakua hivyo Mimi sitaki kusimulia, kwanza unazungumzia yatima yupi anaeishi na Mama yake au aliefiwa na wazazi wote Mama na Baba?

Maana yatima au binti anaeishi na Mama yake alafu Baba kafari au wanakwambia tu Baba hajulikani jaribu kufuatilia tabia za Mama usije ukaoa bomu la dakika,
Yatima aliyefiwa na wazazi wote na kulelewa na familia nyingne au kituo cha kulelea yatima,siyo mwenye mzazi mmoja
 
Unaweza oa yatima aliyepitia maisha magumu akawa na roho mbaya na kisasi ndani ukimkosea kukuloga au kukuua kwa sumu jambo jepesi. Unaweza muoa hajawahi pendwa na hajui upendo ni nini, unaweza muoa kakukubali kisa ana shida.

Ila most of the time yatima ni wake wazuri na wafanyakazi wazuri. Bibi yangu mmoja ni mkorofi kama nini hakai na wafanyakazi dukani kwake ila ilitokea akampata mdada ni yatima alidumu nae sana. Na huyo yatima alipanga kwa mama mdogo nikaenda kuwatembelea nikamkuta. Kukekule alikuwa mtulivu kuliko wapangaji wote.
Nina classmate rafiki yangu sana wazazi wake walikufa kaolewa na mwanajeshi. Yule jamaa aliyemuoa kajenga haraka baada ya kuoa, mke wake anadai hana kwao wasipojenga hawajui kesho. Na shughuli za ujasiriamali nyingi. Wale wanajeshi wengine wanalewa tu, jamaa mwenyewe mkewe kamkuta na map.umbu na visabufa miaka kibao kazini hana kitu.

Mke yatima wa tangu utotoni hana wa kumpa jeuri kwao, hana upendo wa kifamilia zaidi ya mume na watoto wake, hana kimbilio akiharibu ndoa yake. Ni rahisi kupenda wakwe zake na huyu mara nyingi aliomba Mungu apate mume mwema maana ndio betting pekee aliyobakiza duniani.
Probably hana mpango wa kukuacha na ukitaka kumuacha ni bora ufe.
 
Unaweza oa yatima aliyepitia maisha magumu akawa na roho mbaya na kisasi ndani ukimkosea kukuloga au kukuua kwa sumu jambo jepesi. Unaweza muoa hajawahi pendwa na hajui upendo ni nini, unaweza muoa kakukubali kisa ana shida.

Ila most of the time yatima ni wake wazuri na wafanyakazi wazuri. Bibi yangu mmoja ni mkorofi kama nini hakai na wafanyakazi dukani kwake ila ilitokea akampata mdada ni yatima alidumu nae sana. Na huyo yatima alipanga kwa mama mdogo nikaenda kuwatembelea nikamkuta. Kukekule alikuwa mtulivu kuliko wapangaji wote.
Nina classmate rafiki yangu sana wazazi wake walikufa kaolewa na mwanajeshi. Yule jamaa aliyemuoa kajenga haraka baada ya kuoa, mke wake anadai hao kwao wasipojenga hawajui kesho. Na shughuli za ujasiriamali nyingi. Wale wanajeshi wengine wanalewa tu, jamaa mwenyewe mkewe kamkuta na map.umbu na visabufa miaka kibao kazini hana kitu.

Mke yatima wa tangu utotoni hana wa kumpa jeuri kwao, hana upendo wa kifamilia zaidi ya mume na watoto wake, hana kimbilio akiharibu ndoa yake. Ni rahisi kupenda wakwe zake na huyu mara nyingi aliomba Mungu apate mume mwema maana ndio betting pekee aliyobakiza duniani.
Probably hana mpango wa kukuacha na ukitaka kumuacha ni bora ufe.
Unaongea nadharia na mwenye sredi anaongelea uhalisia anaoishi tushike lako la kusadikika.
 
Back
Top Bottom