Wanaume oeni yatima, hamtojutia

Mimi apa yatima nataka mume
 
Kazi kweli kweli [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Sasa itabidi na wewe ukizaa mtoto wa kike ufe wewe pamoja na mama yake ili binti yako apate soko baadae, maana umeshauri kwamba vijana waoe yatima, imagine binti yako sio yatima halafu wewe umeshahamasisha watu waoe yatima, huoni kwamba binti atakosa soko?
 
Sio lazima awe yatima ++
Oa yeyote ambaye mama yake alishafariki, wakwe wa kiume sio tatizo.
Sasa wewe ingia Cha kike uoe ambaye baba yake alishakufa kitambo akalelewa na mama tu, au oa mtoto wa singo maza.
 
Nasubiri Kesho mfungue uzi mwengine "mkioa albino hamtojutia".
 
Daaah update mwanamke ambaye amelelewa na single mother🤔. Ni mtihani aisee
 
Kuna siku mtasema muoe viziwi? Ok ni hv anachosema mtoa mada ni sahihi hata mim nimeoa yatima nikiwa na miaka 19 mpaka leo nina miaka nae 9 so wako vizur
Ni Kipofu au anaona?
 
Ukienda kuoa angalia nani mwenye kauli kwenye familia kati ya Baba na Mama, ukiona Mama ndio mwenye kauli kijana jiandae kisaikolojia hapo jiandae kuburuzwa maana huyo binti kakopi familia yake inavyoendeshwa kimama Mama, ukikuta mwenye kauli ni Baba Oa fasta tena usiulize mahari mara 2 na usiweke hata deni maliza ingawa wanasema mahari haimalizwi
 
Ukiona kobe kainama? Miaka 2 bado unaolewa wewe. Viumbe hao mama yao mmoja. Nakupa miaka 2 mbele,uje na uzi mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…