Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Hao ni wanaume wahuni wasiojua thamani ya mtu anayejitolea kuwathamini... ukimthamini sana anajiona kakushika anaota mapembe, lakini ukimpata ukimpa Prince charming wa kweli wala huwezi kukutana na hayo maswahibu.

Pendekezo: achanani na wanaume wahuni ni bahati mbaya sana eti hao wanaume mabandidu ndio huwa mnatokea kuwaelewa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Whozhaaaaaaaa[emoji2960][emoji3526][emoji7][emoji8][emoji7][emoji7][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Mambo hayo jamani [emoji7][emoji7][emoji7]
Shoga usinisahau weekend
Sent using Jamii Forums mobile app
Mama la mama karma[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mambo yamenogaaa[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] usijali shogaangu mi na weye tena

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] acha kunionea wivu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefurahi....
Waifu material wewe[emoji7][emoji7][emoji7]

Hahahahaah twenti twenti[emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] mmhh hizi sifa mbona sijawahi kupewa tangu tufahamiane dada kwema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Twenti twenti hii dogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Naiona strong sisterhood kwenye neema mnaitana tu, akiitwa mmoja wote mmo.

Mmenikumbushaa nyakati fulani hivi wakati nimejiweka kwa denti mmoja muharamia alivyonikosa kosa kuninyonya damu yeye na kampani lake. Alooo nilitoka nduki hadi leo sijawahi kuingia tena kwenye mtego kama ulee.

Msiogope lakini, mpango wangu weekend hii uko pale pale. Acha tuifanye January ifanane kidogo na December!!

Cheeers[emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka wallahi,, cheers kaka.. [emoji1635][emoji1635][emoji1635][emoji1635]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona Ni wote tu tukiwapenda Sana mnaota mapembe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi hatutakunyonya damu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vizuri Karma, maana yule Edelyn na Marianah alikuwa anafanya watu wanagombana na keyboard mpaka wanataka kupigwa ban[emoji1][emoji1][emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi Sana...
Naona wote mmebadilika..maana yule lizarazu wa zamani alikuwa anashusha magazeti kutuchamba wadada Hadi tunatamani kuikimbia jf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…