Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

Hata hivyo nimejiandaa kunyonywa damu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] niko gado mpaka ninawaita

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila najua Mimi nimedandia tu treni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata hivyo huwa nakunywa soda tu na nyama choma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila najua Mimi nimedandia tu treni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hata hivyo huwa nakunywa soda tu na nyama choma

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi hauna hata gharama, nitakuandalia crate zima la peps na mbuzi nusu ule mpaka ushindwe kutembea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
You are absolutely right. If only we(men) were half as pious...
Were those demeaning words uttered by any of our idem gender toward the opposite one, the rage would be out of this world by now. As you say if we were pious maybe we would be free from this self-inflicted infallibilism tendency.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukwel ni kwamba anae penda hela.. atazipata kwa muda huo ila hatozipata milele, atakae zipata kwa muda mref ni yule ambae hawek hela mbele.

Ukipenda kupewa hela siku nikikosa itakuwaje.. ama akitokea mwenye hela zaid yangu itakuwaje!

Kuna kujiuza kwa aina mbili.. anaejionesha na ambae hajioneshi



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli ila inabidi utafute hela... Ukipata na wewe tafuta mwanamke mwenye hela Oa... Huyo ataweza kusimamia mali zako hata ukitoweka Duniani....

Inauma kuona unapendwa sababu ya pesa.. Unahisi kama vile that Love is not real

Ndo maana hata Mungu mpaka akubariki inabidi ujishushe sana.. Yani kwa kifupi hata Mungu hapendi ya kuwa taken for Granted.. Sasa ije kuwa wanaume kweli?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Ndo maana swala la haki sawa kwa wote halitokaa litokee.. Mnao jiwekea ukuta ni nyie wenyewe unajua mwanaume akikupenda yani kukupa hela inatokea automatically.... Na huwa kwetu inakuwa kama pleasure

Ilala sasa hawa Dada zetu umemtongoza au mmezoeana kidogo tu washaanza kupiga vibomu.. Mtu unaweza kuwa na hela usitoe maana inakuwa ni kama anakuona lofa flani hivi...

Na bado unakuta MTU uwezo wake wa kumjali mwanaume upo low nabado hata chura hana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…