Wanaume shupavu...

Wanaume shupavu...

Namna ya kuanza mazungumzo inategemea na mazingira pamoja na weledi wako ktk uzungumzaji!..
Unapoanza mazungumzo na ke moja kwa moja hutakiwi kuonyesha dhamira yako ya kutaka kumtongoza atakuepuka mapema.. labda Kama wawe wale wa kununua..😅

Salamu ndo kitu Cha kwanza then unaanza na maswali ya kawaida tu ambayo ama yatahusu mazingira mliyopo au utatafuta sababu tokana na weledi wako.. kanuni ya kuwa utaongea nini utaipata kwenye maeneo husika ila lazima uwe na kanuni ya utambuzi yakinifu wa kuongea vipi..!

Unaweza kuanza kumuuliza vitu visivyomuhusu then ukiona analeta ushirikiano taratibu unagusia vinavyomuhusu ila kwa umakini maana wengine hawapendi.. kikubwa hutakiwi kumkera utaharibu Mambo!..
Sababu nyengine unaweza zipata ukijua mtu husika anapenda nini mfano unaweza mkuta anasoma.. so unakanyaga humohumo mwishowe mazoea na ukishaona mazoea kidogo basi unamtupia sifa kadhaa usitie chumvi Sana unafanya kama unamsifia huku unaficha sifa fulani hivi.. hapo utatengeneza kiu kwake!.. mkuu usisahau na muonekano wako kwa taarifa yako muonekano wa mtu unanguvu pia ya ushawishi ktk kupata nafasi fulani!.. hata wao wenyewe wanaweza lishuhudia hili.. just be smart..

Hakuna kanuni mkuu ni weledi wako tu na tuvitu fulani fulani na wengine usikimbilie kuwaomba namba kama unajua utaweza kuonana nae tena zaidi na zaidi Basi we tengeneza mazingira ya mazoea tu.. lkn wengine kuwa na logic maana kumuomba namba anataka na sababu iliyoimara so unaweza jiumauma tu kiboya ukashusha CV..😂
 
Amekuelewa
 
sio mtu wa ku-comment sana but for This umepita kwenye njia yanGu

#cool
 
Namna ya kuanza mazungumzo inategemea na mazingira pamoja na weledi wako ktk uzungumzaji!..
Unapoanza mazungumzo na ke moja kwa moja hutakiwi kuonyesha dhamira yako ya kutaka kumtongoza atakuepuka mapema.. labda Kama wawe wale wa kununua..[emoji28]

Salamu ndo kitu Cha kwanza then unaanza na maswali ya kawaida tu ambayo ama yatahusu mazingira mliyopo au utatafuta sababu tokana na weledi wako.. kanuni ya kuwa utaongea nini utaipata kwenye maeneo husika ila lazima uwe na kanuni ya utambuzi yakinifu wa kuongea vipi..!

Unaweza kuanza kumuuliza vitu visivyomuhusu then ukiona analeta ushirikiano taratibu unagusia vinavyomuhusu ila kwa umakini maana wengine hawapendi.. kikubwa hutakiwi kumkera utaharibu Mambo!..
Sababu nyengine unaweza zipata ukijua mtu husika anapenda nini mfano unaweza mkuta anasoma.. so unakanyaga humohumo mwishowe mazoea na ukishaona mazoea kidogo basi unamtupia sifa kadhaa usitie chumvi Sana unafanya kama unamsifia huku unaficha sifa fulani hivi.. hapo utatengeneza kiu kwake!.. mkuu usisahau na muonekano wako kwa taarifa yako muonekano wa mtu unanguvu pia ya ushawishi ktk kupata nafasi fulani!.. hata wao wenyewe wanaweza lishuhudia hili.. just be smart..

Hakuna kanuni mkuu ni weledi wako tu na tuvitu fulani fulani na wengine usikimbilie kuwaomba namba kama unajua utaweza kuonana nae tena zaidi na zaidi Basi we tengeneza mazingira ya mazoea tu.. lkn wengine kuwa na logic maana kumuomba namba anataka na sababu iliyoimara so unaweza jiumauma tu kiboya ukashusha CV..[emoji23]

daah[emoji1316][emoji1316]
 
Unamfata unamuuliza account number afu wamwambia mekuzimikia
 
Write your reply...Km ni huku vchakani(kijijni) na hakuna watu ni mtama tu.. kifuatacho itv knajulkana atatoa tu ushrikiano bdae, ila km ni huko town kwenu waulize jmaa zako huko mjini wanafanyaje!
 
Back
Top Bottom