Wanaume sio ATM!!!

Hapana..iweje uwe yatima bana....... yaani hata mimi umenisahau dada yako.. mwenye jina linalokupa nguvu...LOL
Aisee!!!! Keren nilikuwa sijui kuhusu hilo kumbe ankal anajifanya yatima wakati wewe upo lolz
 
Aha ahahaha hauko yatima ankal ongea vizuri naweza nikakufikiria kwa Michelle lolz
aargh michelle matawi ya chini bana, anataka nimpeleke gesti za sinza wakati mimi nikivuta hewa ya maeneo ya sinza nakuwa diabetic. michelle mpelekee hashy. wafu kwa wafu wakazikane
 
Hapana..iweje uwe yatima bana....... yaani hata mimi umenisahau dada yako.. mwenye jina linalokupa nguvu...LOL
afazali, nilipoona hii post yako tu nimeanza kupata apetaiti ya kuchana nywele. nahofia wasje wakaniloga kwa hivyo ulivyomalizia post
 
Afadhali..lakini kumbuka hayo maneno si yangu...mimi nimeparafrezi tu...
 
aargh michelle matawi ya chini bana, anataka nimpeleke gesti za sinza wakati mimi nikivuta hewa ya maeneo ya sinza nakuwa diabetic. michelle mpelekee hashy. wafu kwa wafu wakazikane
Last time uliniambia kuwa ulilala tandale kwa mtogole na ukasema ulipapenda sana baada ya yule mtoto wa Manzese midizini kukuchanganya ukasema utamtafuta tena
 
WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.
 
Last time uliniambia kuwa ulilala tandale kwa mtogole na ukasema ulipapenda sana baada ya yule mtoto wa Manzese midizini kukuchanganya ukasema utamtafuta tena

TF..naomba kuuliza, AD ameenda wapi jamani??!! Maana nakumbuka nilivyojiunga humu ndo alinikaribisha...sasa sijamwona tena! Naona wewe tu unam-miss...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…