Wanaume sio ATM!!!

Wanaume sio ATM!!!

Yaani Keren UNAFIKIRI au una uhakika?

Babu anamhudumia bibi yenu mmoja tu! na kudumisha mila na wajane kama inavyotupasa....hapa wajane ni wale wasiokua na wenza wao wa kuwapeleka kileleni.

Nina uhakika babu...ulimi uliteleza tu! Ila hapo penye nyekundu naogopa kucomment....nitamuuliza bibi anifanunulie vizuri!
 
Nina uhakika babu...ulimi uliteleza tu! Ila hapo penye nyekundu naogopa kucomment....nitamuuliza bibi anifanunulie vizuri!

Hahaha...bibi atakuambia: Najua jamaa linamisibihevu lakini linamisibihevu kwa adabu manake sijawahi hata kulihisi....LOLZ!
 
Hivi TF mbona hutaki nitoke ? nimechoka kuwa undagraundi Lizzy muone kama polisi wa Arusha vile,sawa ?

Comments kama hizi zitanipa vidonda vya tumbo dearest,jali afya yangu.
Oh dearest...usiwe na wasiwasi!Ningekukumbatia sema nna ndoo ya maji kichwani!Mi ni wako...Fynest ni mchizi wangu wa ukweli tu!
 
Dearest comments kama hizi zinatanipa vidonda vya tumbo.

Lizzy naomba umkatalie hadharani kwa faida yangu na watazamaji wa thread hii lol!
Dearest Fynest namchunga tu...can't let him wonder off now that my sister is not around!
 
jinsi ulivo nijibu hapo sasa mimi hayo maneno nimeyaweka kwenye sauti ya mtoto mmoja wa kitanga,anayaongelea kutokea puani basi mie burdani tosha......nimeacha kuogopa.
Tanga kunani inatisha mkuu!ukizama uko utoki tena!
 
Dearest Fynest namchunga tu...can't let him wonder off now that my sister is not around!
Labda wewe unachukulia hivyo lakini TF tumesota nae sana humu namfahamu ni mtu wa ku-take advantage of a situation be careful dearest.
 
Labda wewe unachukulia hivyo lakini TF tumesota nae sana humu namfahamu ni mtu wa ku-take advantage of a situation be careful dearest.
Trust me dearest!No one can take advantage of me!Subiri muda wake wa maongezi karibu unaisha!Lolz
 
Labda wewe unachukulia hivyo lakini TF tumesota nae sana humu namfahamu ni mtu wa ku-take advantage of a situation be careful dearest.
Mkuu naona unaniua tu:laugh::laugh::laugh::laugh::laugh:
 
Hivi TF mbona hutaki nitoke ? nimechoka kuwa undagraundi Lizzy muone kama polisi wa Arusha vile,sawa ?

Inabidi unywe kuanzia 2-3 miaka ya nyuma nilimualika demu mmoja mdogo wa umbo bar akaagiza safari kichwani nikasema ookaay,alipoagiza ya kumi na bado hajalewa nikasema nanunua vocha hapa nje nikatokomea lol!
Single yako producer kasema haina nyama inabidi ukaishibishe kwanza lolz!!!!
 
Back
Top Bottom