Sajenti
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 3,651
- 413
...NI kukosa kujiamini tu. wasichana wengi huwa wanapenda wavulana/wanaume kutegemea na recommendations za rafiki zao hawapendi kutokana nahisia zao. Nakumbuka fiance wangu wakati tunaanza urafiki alipenda sana kunikutanisha na rafiki zake "eti rafiki zangu wananiuliza kila siku lini watakuona"??..Any way yeye anadai alishaamua kukolea ingawa najua alitaka kupata views za shoga zake!!:wink2:Lakini hapa sometimes kwa dada zetu ni Security na labda anataka shoga yake na yeye atoe recommendation kuhusu huyo kaka au?