Wanaume sio ATM!!!

afazali, nilipoona hii post yako tu nimeanza kupata apetaiti ya kuchana nywele. nahofia wasje wakaniloga kwa hivyo ulivyomalizia post
:boxing::boxing::boxing::boxing::boxing::boxing::boxing::boxing::boxing:
 
TF..naomba kuuliza, AD ameenda wapi jamani??!! Maana nakumbuka nilivyojiunga humu ndo alinikaribisha...sasa sijamwona tena! Naona wewe tu unam-miss...
Nimeamua awe mama wa nyumbani for the time being kwahiyo hapa JF ninam-miss nikirudi nyumbani hali inarudi kawaida l.o.l
 
Mhhh...lakini hujamtendea haki bana! Kwani wamama wa nyumbani hawaruhusiwi JF??? Hapa kuna elimu kwa kila eneo....
 
Akiingia JF halafu akija kupika huwa anaunguza wali na maharage kwahiyo jioni tunalala njaa kwahiyo nikaona bora kwanza apumzike
 
Unajua huyu ankal ana matatizo ya kusahau kabisa anaweza kusahau hata hii posti niliyoaandika hapa
ankal umenikonfyuzi na hashycool, hii njemba ndio inakuwa inaandika iko na michelle halaf sku ya pili inasahau spelling na kuandika nilham.
 
niliwahi kumwambia lizzy kama hayo na ameshindwa hata kuyaparafrezi mpaka leo. acha niende disco tu kushangilia hii parafrezi

Sasa naanza kuelewa somo....

WARNING: if you are too serious you better avoid me cuz I always define life as a joke.
 
ankal umenikonfyuzi na hashycool, hii njemba ndio inakuwa inaandika iko na michelle halaf sku ya pili inasahau spelling na kuandika nilham.
Ahahaha ahaaaaa hashycool sijui yuko wapi anaweza kuwa yuko MANZESE TIP TOP sasa hivi au unaweza kumkuta yuko LANGO LA JIJI
 
nimeskiliza matangazo ya vifo lakini naona mpaka mida hii jina lake haliko kwenye orodha. nazani yupo uwanja wa fisi.
 
Akiingia JF halafu akija kupika huwa anaunguza wali na maharage kwahiyo jioni tunalala njaa kwahiyo nikaona bora kwanza apumzike

Hapa kuna kaukweli.... hebu ngoja na mimi nisje uunguza ikawa taabu tena.....:car:
 
nimeskiliza matangazo ya vifo lakini naona mpaka mida hii jina lake haliko kwenye orodha. nazani yupo uwanja wa fisi.
Ngoja may be anaweza akawa ameenda kwa AMIJEI alisema ana hamu ya urojo, pia kule mkunanzini anaweza kuwepo
 
yuko kwenye sredi la mohammed shossi. hapa nazani anamkimbia michelle. si unajua ATM ya hashy imeisha betri?
 
ankal umenikonfyuzi na hashycool, hii njemba ndio inakuwa inaandika iko na michelle halaf sku ya pili inasahau spelling na kuandika nilham.

yaliyopita si ndwele,tunaganga yajayo.....usituruidishe nyuma......:rain:
 
Ahahaha ahaaaaa hashycool sijui yuko wapi anaweza kuwa yuko MANZESE TIP TOP sasa hivi au unaweza kumkuta yuko LANGO LA JIJI

kaka samahani,uwe unaniuliza si kubuni....yuko vacation Bahama Islands,nyie vipi? Hashy tangu lini akaenda maeneo mliyotaja?heshima yenu inashuka wewe na Kloro,na mnanishushia heshima pia mimi.....ATM kubwa ile.....si kama Kloro hata albamu hajatoa anajidai kama nini???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…