Wanaume sio ATM!!!

Mtoko hautatosha nahitaji tufanye logistics za kutambulishana kwa wazazi ili niweze kuwa nawe 24/7 dearest.
Eh unataka kufanya kweli dearest??Embu come this way uniambie zaidi!
 
Eh unataka kufanya kweli dearest??Embu come this way uniambie zaidi!
yaani dearest sikuli silali....you know the rest.Am lost without you,i cant breathe there is no AIR you've taken my breath away.
 
yaani dearest sikuli silali....you know the rest.Am lost without you,i cant breathe there is no AIR you've taken my breath away.

Come over here so I can give you..your breath back!Surely a kiss will do!Right?
 
Come over here so I can give you..your breath back!Surely a kiss will do!Right?
Am coming Lizzy yes a kiss will surely bring back my breath and a biiig HUG to go with that,will probably add years to my life.
 
Am coming Lizzy yes a kiss will surely bring back my breath and a biiig HUG to go with that,will probably add years to my life.
Done...jihesabie miaka 10 ya nyongeza!
 
Nilikuwa napita tu jameni naona nishapigwa kibuti dah uporoto01 sumu yako kali
 
Hii mtindo wa kuwaita wanaume ATM unawaboa sana kusema ukweli...hata mimi kama mdada siufagilii.Achili mbali huwaita hata kuwatumia kama ATM nayo inatufanya wadada tunadharauliwa wakati mwingine.

Tatizo baadhi ya kina kaka hata ukitaka kula kiazi anakulazimisha ule pizza eti sababu anazo. Mnaweza kukaa hata chini ya mwembe mkaongea, hataki anataka mwende beach. Kisha pembeni analalamikia matumizi makubwa na akichacha kidogo anakukwepa kinoma. sio ATM lakini wabadilishe tabia
 
Nilikuwa napita tu jameni naona nishapigwa kibuti dah uporoto01 sumu yako kali
Kuna dada mmoja tunafanyanae kazi alisema namshangaa sana fulani anakuja kunitongoza huku kavaa pete ya ndoa na anategemea kabisa nimsikilize,sasa wewe unakuja kuongea na Lizzy na hapo chini umeandika Miss U AD ,think TF think.Mie hapo chini nimewaweka Machinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…