The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Okay leo tunapanga MOUNTAIN DEW tuKwani kuna kupanga meza leo? Me not aware....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay leo tunapanga MOUNTAIN DEW tuKwani kuna kupanga meza leo? Me not aware....
Mtoko hautatosha nahitaji tufanye logistics za kutambulishana kwa wazazi ili niweze kuwa nawe 24/7 dearest.Karibu dearest!Sasa hunizawadii kwa mtoko?
Siku yangu ya leo itakuwa nzuri baada ya kusoma hii,thanks dearest.
Hapana besti bado kufika kipande hii,mzima lkn.halafu wewe kale kafurushi umekapata eeh?
yaani dearest sikuli silali....you know the rest.Am lost without you,i cant breathe there is no AIR you've taken my breath away.Eh unataka kufanya kweli dearest??Embu come this way uniambie zaidi!
Hapana besti bado kufika kipande hii,mzima lkn.
Am coming Lizzy yes a kiss will surely bring back my breath and a biiig HUG to go with that,will probably add years to my life.Come over here so I can give you..your breath back!Surely a kiss will do!Right?
Thanks your an angel,first i had a good day and now will sleep like a baby tonight.:hug::busuDone...jihesabie miaka 10 ya nyongeza!
MY ANGEL :A S-rose:An?Not yours?Haya kama hujabinafsisha watatokea wamiliki wengine!
spanish lady nimeshazisamehe usikonde mtu wangu.kha! Hawa mamods wamekazuia nini.
spanish lady nimeshazisamehe usikonde mtu wangu.
Mmh ya kuombwa hiyo!Sijui nichukue au niache....!
Hii mtindo wa kuwaita wanaume ATM unawaboa sana kusema ukweli...hata mimi kama mdada siufagilii.Achili mbali huwaita hata kuwatumia kama ATM nayo inatufanya wadada tunadharauliwa wakati mwingine.
Kuna dada mmoja tunafanyanae kazi alisema namshangaa sana fulani anakuja kunitongoza huku kavaa pete ya ndoa na anategemea kabisa nimsikilize,sasa wewe unakuja kuongea na Lizzy na hapo chini umeandika Miss U AD ,think TF think.Mie hapo chini nimewaweka Machinga.Nilikuwa napita tu jameni naona nishapigwa kibuti dah uporoto01 sumu yako kali