Mkuu shida ikija haipigi hodi.., yaani hapa ninachosema inabidi ile imani ya kwamba Mwanaume inabidi atoe inabidi iishe, maisha ni kusaidiana kwahiyo siku nikiwa broke hakuna ubaya mwenza wangu akinitreat..., hayo ndio maisha. Yaani yeye akipata shida am the first kuambiwa na mimi nikipata hivyo hivyo na isiwe one sided
Afu uatkuta inapanga foleni kwa babu wachanjwe machale eti hawaolewi kumbe mwenyewe mchawi!
Mmhh Lizzy labda dada ni muoga au mtu wa aibu na hajui ataongea nini na anataka mtu wa kumsaidia kumake a conversation, yaani back-up asije akasema the wrong things.. (ujasiri unatofautiana)Ni ushamba!!!Na huyo anaekubali kumsindikiza mwenzake kwenye date wakati sio dabo deiti sijui anakua anafikiria nini!!:thinking:
Sasa hautaki yule rafiki yako wa karibu au dada yako na yeye anione.... (au si mnaweza mkaja alafu mkakataa kunywa bia, pale mkanywa maji peke yake?)
Point yangu hapa LD ni kwamba mpenzi wangu akija siku ya kwanza na mwenzake sio lazima kwamba ana nia mbaya (lakini baada ya wao kukaa na kuanza kuona matanuzi yao ndipo taanza kujiuliza motive yao)
Hapana LD hata huyo mwandani wako once alikuwa a first date...., ninachosema just mtu kuja na mwenzake siku ya kwanza isiwe sababu tosha ya kumpiga kibuti..., ndio ingawa itakufanya kuwa alert, lakini labda kuna motive nzuri.., ila hayo ya kutanua kwa mfuko wa mwenzako hata mimi sikubaliani nayo..Mkuu first date niwe mwandani wako?? Kwa imani au!! Afu nitumie nitabana matumizi kaka angu!!
Mmhh Lizzy labda dada ni muoga au mtu wa aibu na hajui ataongea nini na anataka mtu wa kumsaidia kumake a conversation, yaani back-up asije akasema the wrong things.. (ujasiri unatofautiana)
Sio mpaka niishiwe kesho yake akiniita naweza kumueleza hali halisi kwamba nipo broke sina kitu kwahiyo its up to her kufanya kitu ambacho hakina gharama au yeye ndio anitreat (tena asiwe na wasiwasi sababu takuja peke yangu)..., Nadhani hapa wanaume pia tuna makosa sababu hatuko wawazi au wakweli tupo radhi tukakope ili tu-impress mtu kwamba zipo hata kama hazipoUsijali VoR wekeza kwa kutoa ili siku ukiishiwa na wewe upewe!!!:coffee:
Mmhh Lizzy labda dada ni muoga au mtu wa aibu na hajui ataongea nini na anataka mtu wa kumsaidia kumake a conversation, yaani back-up asije akasema the wrong things.. (ujasiri unatofautiana)
Mhh... LD???Voice under 18 au!!
Sio mpaka niishiwe kesho yake akiniita naweza kumueleza hali halisi kwamba nipo broke sina kitu kwahiyo its up to her kufanya kitu ambacho hakina gharama au yeye ndio anitreat (tena asiwe na wasiwasi sababu takuja peke yangu)..., Nadhani hapa wanaume pia tuna makosa sababu hatuko wawazi au wakweli tupo radhi tukakope ili tu-impress mtu kwamba zipo hata kama hazipo
Duhh Kweli huyu hafai kabisa and the guy should have stopped at the shopping stage.... Huyo ni wa kuogopa kama ukoma... Duhh Lizzy ulitaka kumtumbukiza kaka wa watu kwenye matatizo???Mhhhh inawezekana kwa wengine ila kwenye hii kesi....wenye aibu yeye sio mmoja wao!!!Na hiyo ilikua ni official 1st date ila wameshawahi kua wenyewe mara kadhaa....ya kwanza dada alikua anaenda shopping mshkaji akamsindikiza na akamgharamia...then alikua anasafiri akaomba apelekwe airport!!Sasa hiyo aibu inatoka wapi siku hiyo na sio kabla???:twitch:
Wapo wengi sana....yani wao mwanaume anakua sio mwenzi ila tegemeo tu!!!
Duhh Kweli huyu hafai kabisa and the guy should have stopped at the shopping stage.... Huyo ni wa kuogopa kama ukoma... Duhh Lizzy ulitaka kumtumbukiza kaka wa watu kwenye matatizo???
Lakini unakubaliana na mimi it makes sense mwanzo wa mapenzi kwa dada kupenda kuwa na back-up ya mwenzake for support au?
Hivi kuna wadada wa hivi siku hizi??? Ai mie siwezi uinitoa out ujue nina pesa ya kula na kunywa (valuer) na tax ya kunirudisha home