Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,009
- 60,629
- Thread starter
- #41
Mkuu shida ikija haipigi hodi.., yaani hapa ninachosema inabidi ile imani ya kwamba Mwanaume inabidi atoe inabidi iishe, maisha ni kusaidiana kwahiyo siku nikiwa broke hakuna ubaya mwenza wangu akinitreat..., hayo ndio maisha. Yaani yeye akipata shida am the first kuambiwa na mimi nikipata hivyo hivyo na isiwe one sided
Usijali VoR wekeza kwa kutoa ili siku ukiishiwa na wewe upewe!!!:coffee: