Wanaume sio ATM!!!

Wanaume sio ATM!!!

Jana mi mabomu ya Gmboto yakaniokoa, ile nimekaa pale Banana mdada kaja na shoga zake, sijui family nikaagiza 3kgs, heiken, na redbul kadhaa hivi. Ile mabomu yanaanza tu tukakimbia kabla havijaletwa, nikawaambia nawahi home, huyoooo na kicalidina changu hadi Chang'ombe, kumbonji, huyo mdada hanipati tena.
 
gaga hiyo ni kweli kabisa.
Nina rafiki yangu wa kike amemuhudumia mpenzi wake hadi amechoka.
Yaani wakitoka outing lady ndio analipa gharama zote.
Wote vipato vyao vidogo lakini mwanaume amekuwa kama mzigo.
Siku hiyo wameenda lodge, huyo shemeji akamuuliza rafiki yangu unakula nini, rafiki yangu akamwambia mi sijisikii kula we agiza tu cha kwako. Yule mwanaume akamwambia rafiki yangu "naomba hela".
Yaani apewe hela ya msosi.
Just imagine!!

Dah usninyo hii kali jamani, mbaba bila hata aibu lol, dunia yaelekea ukingoni sasa
 
Jana mi mabomu ya Gmboto yakaniokoa, ile nimekaa pale Banana mdada kaja na shoga zake, sijui family nikaagiza 3kgs, heiken, na redbul kadhaa hivi. Ile mabomu yanaanza tu tukakimbia kabla havijaletwa, nikawaambia nawahi home, huyoooo na kicalidina changu hadi Chang'ombe, kumbonji, huyo mdada hanipati tena.

Hahahahaaaaaaa mwe jamani lol! we avanti umenichekesha mbele ya mkoloni kha nashukuru kwa kunianzishia siku vyema
 
Hahahahaaaaaaa mwe jamani lol! we avanti umenichekesha mbele ya mkoloni kha nashukuru kwa kunianzishia siku vyema

Sikuwa na alternative, unajua tena 3kgs za kitimoto na manywaji haraka haraka vilikuwa vinaleta bill ya 26 thousand hivi!!! hiyo ni one round tu, nikaona isiwe zali, sikuombea mabomu lakini yaliniokoa
 
Am fine Kaizer,how are you? una kifaa kipya kinakula ATM nini mbona una beep sana siku hizi hapa JF?isije ikawa kimelamba hadi hela ya internet? manake sisi wapenda ATM tunajua kuzichota haswaaaaaaaaaaaa......l.o.l
njoo nikupeleke Pauline alipo!!!:laugh::laugh:

asee Michelle,,,,apo nikisema ndio nitaharibu kila kitu, so hapo sikatai wala sikubali

baada ya jana kunusurika mabomu nimekuja kabisa ebu nishike mkono mwenzio...nifikishe alipo tu..

hahaha dogo hujaenda kule kwen mabomu kutoa msaada wa dharura?
 
Kwasasa naelekea Gongo la Mboto kikazi siunajua nafanya RED CROSS,nikirudi tu nakuja kupeleka Pauline alipo......:laugh::laugh:
 
mi wala simind kuitwa ATM.....kwa sababu ATM za bongo muda mwingi zinakuwa hazifanyi kazi....unaenda kutoa hela unarudi na receipt bila hela.....mi ndio ATM ya namna hiyo......kwa hiyo endeleeni kuniita ATM
 
Back
Top Bottom