Wanaume sio ATM!!!

Jana mi mabomu ya Gmboto yakaniokoa, ile nimekaa pale Banana mdada kaja na shoga zake, sijui family nikaagiza 3kgs, heiken, na redbul kadhaa hivi. Ile mabomu yanaanza tu tukakimbia kabla havijaletwa, nikawaambia nawahi home, huyoooo na kicalidina changu hadi Chang'ombe, kumbonji, huyo mdada hanipati tena.
 
Dah usninyo hii kali jamani, mbaba bila hata aibu lol, dunia yaelekea ukingoni sasa
 
Hahahahaaaaaaa mwe jamani lol! we avanti umenichekesha mbele ya mkoloni kha nashukuru kwa kunianzishia siku vyema
 
Hahahahaaaaaaa mwe jamani lol! we avanti umenichekesha mbele ya mkoloni kha nashukuru kwa kunianzishia siku vyema

Sikuwa na alternative, unajua tena 3kgs za kitimoto na manywaji haraka haraka vilikuwa vinaleta bill ya 26 thousand hivi!!! hiyo ni one round tu, nikaona isiwe zali, sikuombea mabomu lakini yaliniokoa
 
asee Michelle,,,,apo nikisema ndio nitaharibu kila kitu, so hapo sikatai wala sikubali

baada ya jana kunusurika mabomu nimekuja kabisa ebu nishike mkono mwenzio...nifikishe alipo tu..

hahaha dogo hujaenda kule kwen mabomu kutoa msaada wa dharura?
 
Kwasasa naelekea Gongo la Mboto kikazi siunajua nafanya RED CROSS,nikirudi tu nakuja kupeleka Pauline alipo......:laugh::laugh:
 
mi wala simind kuitwa ATM.....kwa sababu ATM za bongo muda mwingi zinakuwa hazifanyi kazi....unaenda kutoa hela unarudi na receipt bila hela.....mi ndio ATM ya namna hiyo......kwa hiyo endeleeni kuniita ATM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…