pachawako
Senior Member
- Mar 30, 2024
- 120
- 315
“Wanawake mjiheshimu, achenikuita wanaume zenu malaya, mwanaume hawezi kua malaya, kua na madodo mengi ni haki yake ya msingi as long as yeye anayaka”.
“Wanaume ondoa dhana potofu ya umalaya, tambua kua na wanawake wengi iyo ni haki yako na kua na mmoja iyo ni hiyari yako, kutokana na kipato chako”.
TO MEN.
Kwanza niwape pole wanaume wote ambao tushapitia ujinga kama nilowahi kuupitia mimi eti kujifanya baba mtakatifu kwa wanawake, Shujaa wa kupambania pendo, oya!! hawa wanawake ni wetu asee, kama unaona madodo na unayataka wala usijibane kisa unalo jingine, vuta chuma weka ndani hadi nafsi yako utaposema baasi hapa panatosha.
Tumedangaywa kwa muda mrefu na hawa viumbe, wakipambana kututoa kwenye asili yetu huku wakituaminisha mwanaume anatakiwa kua na mwanamke mmoja tu. Sasa naomba niwajuze huo ni uongo wa hali ya juu kabisa yani pinga na toa kwenye mawazo yako.
Na wala sio umalaya kabisa usidangaywe, kama ni umalaya na yeye mruhusu akaoe uyo asiye malaya apate raha ya kula anachohudumia, sio unahudumia alafu unaruhusu mtu unachongoa mdomo kuleta masharti kwenye nyumba yako.
TO WOMEN.
NyInyi hacheni issue za kuvumilia mtu kama unaona haendani na uwezo wa level zako then piga chini tafuta wa level zako akutunze, utulie, mteke unavyoweza ukishidwa kubali akuletee mwenzako mshirikiane kumteka ila ukiamua kumpa masikini kwa huruma na mapenzi ni wewe at your own risk ila siku akiyapatia maisha akivuta chuma kingine usije kupiga mayowe, et umemtoa mbali maana hukushikiwa panga otherwise tafupa pesa zako mwenyewe chukua zezeta mmoja muoe, muhudumie alafu utakua unaweka masharti kwa mumeo unavyotaka kiroho safi.
Hii ndo policy ya kwenda nayo, kama usipozingatia iyo policy kwa hawa GEN Z tutakusikia umejitundika au umetundikwa.