Wanaume someni inawahusu

Siamini na wewe unafumbia macho mzee mwenzangu!
Ayana, kuwa muangalifu wewe binafsi. Namaanisha kuwa mchoyo. Hakuna ukarimu kwenye mapenzi. Sijui kama umenielewa lakini.
Mwanangu Ayana hebu tuliza boli. Umefanya utatifi lini na wapi na matokeo yake ni yapi kisayansi? Sioni pwenti humu zaidi ya malalamiko yako binafsi ambayo umeyatolea hitimisho la jumla.
 
Last edited by a moderator:
Sisi ndo wanaume,na hizo ndo Zetu!Hakuna atakayekoma bali tutabadili mtindo tu.
 
pole sana dada ayana!...
 
Hata majina na avatar wengi ni wapuuzi sio GREAT THINKERS. JF wabadili registration iwe kama FB na Tweeter.
 
ushauri wangu kama watafuta mchumba nenda kwenye nyumba za ibada angalau utapa wakweli la kini si kwenye mitandao ya kijamii
 

Na mwanamke serious hatafuti mchumba mtandaoni.
 
Heh heh. Hivi hujui kazi ya mwanaume ni kula? WW ukijweka vibaya hata kama una sura mbaya unaliwa. Na kuliwa sio kupendwa ati. wanaliwa weeeengi anapendwa mmoja. Just FYI.

nikweli kaka kama umekaa kiasala wabongo noma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…