FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Katabia kenu huwa sikapendi/hatukapendi ka kulindana
huwa mna ubavu gani unakuwa na mke na marafiki zako wanamjua kama shem wao lakini bado ukiwa na ma G/F unawatambulisha marafiki zako " shemeji yenu " kutana na shemeji yako
nao wana accept na kuanza muita shemeji hai-make sense !!!!!!!!
FL1

........inabidi aendelee kuwa shemeji!ila mimi nasapoti tu,sio mlevi wa hicho kinywaji😀Sasa tupe kaushauri basi tutambulisheje? Hawara, nyumbandogo, kibustani, kimeo au jina gani. Manake kama namegana naye, eventually ni shemeji yao. Period.
Sasa tupe kaushauri basi tutambulisheje? Hawara, nyumbandogo, kibustani, kimeo au jina gani. Manake kama namegana naye, eventually ni shemeji yao. Period.
Morning Binamu.
Morning binamu? How are you and your he?
Hiyo ndio njia nzuri ya kutambulisha, ukitambulisha kwa namna nyingine may be mtoto wa dada au mpwa rafiki zako hawachelewi kummega a.k.a kumla mwili. Kwa hiyo inabidi kuwa mkweli ili kupunguza risk ya kumegewa g/friend wako.Katabia kenu huwa sikapendi/hatukapendi ka kulindana
huwa mna ubavu gani unakuwa na mke na marafiki zako wanamjua kama shem wao lakini bado ukiwa na ma G/F unawatambulisha marafiki zako " shemeji yenu " kutana na shemeji yako
nao wana accept na kuanza muita shemeji hai-make sense !!!!!!!!
FL1
Sasa tupe kaushauri basi tutambulisheje? Hawara, nyumbandogo, kibustani, kimeo au jina gani. Manake kama namegana naye, eventually ni shemeji yao. Period.
hehehehehe mbona na nyie mnalindana sana na viserengeti boys
hehehe!
yua he AI EM FAINI thenki yu!
hehehehe! Bwa-shee umebadili dini tayari? Lol!
Tunawaona mtaani, kwa sababu tunaishi nao na hao serengeti boys ni ndugu na rafiki zetu, sometimes wanatuambia wenyewe! Let me ask you, mwanamke alokubuhu na ushakumpe yukoje?who told you?
labda mwanamke alokubuhu na ushakumpe ndo anaweza fanya hivi
Yamekukuta nini? Usikasirike basi hivo shemeji ina maana nyingi ati
Tunawaona mtaani, kwa sababu tunaishi nao na hao serengeti boys ni ndugu na rafiki zetu, sometimes wanatuambia wenyewe! Let me ask you, mwanamke alokubuhu na ushakumpe yukoje?