wanaume sometimez mnaboa nyie !!!!mkoje lakini teh teh

wanaume sometimez mnaboa nyie !!!!mkoje lakini teh teh

Kwani kina dada wanafanyaje wakiwa kwenye magroup kulindana ili issue isijulikane? Hau huwa hakuna introduction kabisa?
 
Mbona hata wanawake sasa hivi mwendo ni huo huo best...are u still sleeping? wake up baby.
 
Kwani kina dada wanafanyaje wakiwa kwenye magroup kulindana ili issue isijulikane? Hau huwa hakuna introduction kabisa?

Hawaambiani best, maana issue italiki mbaya sana. Wakikutana na ma mazee yao au visenge boyz ni kama hawafahamiani vile.
 
Fidel80 una roho ngumu ka simba weye ...mtoto ni majaariwa tutajuaje kama weye ndo unakuwa na matatizo ya uzazi??????????????????????????????????????

Swadakta hata mtoto wa kusingiziwa tu jamani?
 
ukishamtambulisha,akinywa bavaria yake akisepa tu unawaambia wana..."HAMNA KITU PALE,KICHECHE TU KILE!..HALAFU KIMENIZIMIKIA MBAYA!kila siku nakiambia nimeoa hakielewi,kinalazimisha nimuache waifu.madem wengine bana!........''
..Tehhhh tehhhh tehhhhhh. Mkuu kuna vichaliii vingine hata ukiwaambia kuwa kademu kakicheche hawaelewi na wao wanataka kugusa kidogo wasikilizie!!! Lakini kiukweli I like that...Unapata mazoezi mazuri na afya inaimarika pamoja na sindano zao za mara kwa mara!!
 
Inauma zaidi pale mwanamke anapata mimba nje ya ndoa na anadanganya kuwa ya mme wake,
 
Mi nafikiri cha kwanza naomba uelewe kuwa.... to my point of view... suala la kulindana lipo pande zote mbili kuna nature za behaviour flani ambazo utazikuta kwa wanawake na huwezi kuzikuta kwa wanaume.. na amini nakuambia baadhi ya tabia hizo sio nzuri na wenyewe wanazipractise na kulindana... na isitoshe swala la mimi au rafiki yangu kunitambulisha kwa mtu mwingine ili hali yeye ana GF au mke.. unategemea mimi nitoke nije kukwambia? HELL NOO.. kwanza sitafanya hivyo eti kwasababu nimefurahia lakini hata kama nachukia nitamueleza yeye tukiwa peke yetu nasio wewe.. coz ITS NON OF MY BIZ... if wat he does its illegaly which i doubt. as watever he does for sm reason u have a hand on it... then u will come to find on ur own way...na sio kupitia kwangu.. WE GUYS we dnt hv such kind of so called "sense of humor" running to sm1 patner and claim to see him with another misstress...wanasema rafiki ni kioo chako.. so if i happen to be a PIMP certain my friends as well they would be same as me. and if i happen to be a generous and decent man... dnt expect fouls within us againts our patner and if its happen then u r the one to blame... coz U CLAIM TO KNOW US well THAN URSELF..AND U 4get THAT we speak difference Language... we MENS speak with logic.. and you GIRLS speak with FANTASIES and DESIRE ( i find hard to explain this in both lingua kiswahili na hichi ki BBC) probably because the way u do ur stauff its complicat (NO OFFENCE)....

any way they said WE MENS are from MARS and YOU GIRLS are FROM VENUS... hardly to get along...
so PLSSSSSSSSSSSSS dont try to blow up your own trumpet on this i suggest you should be balanced to find a solution if u real serious....and by saying that i am official request you to rephrase what you have written in otherway around MADAM

NB:thats my opinion dnt take it personal...no hard feeling... JF for life
 
Tangu enzi za Musa, Mfalme Suleiman, Mfalme Daudi, Mtume Mohammad, n.k. mwanamume hakuwa na mwanamke mmoja. Tunaendeleza CULTURE yetu.
 
afadhari mwaya kama mashemeji wangekuwa hawa entataini mambo hayo sidhani kama kungekuwa na ubavu wa kutambulisha msululu wa ma G/F

Haya mambo yanatokea pande zote kwa wanawake na wanaume.
cku moja nimeenda baa na kuwakuta kinadada , mmoja kaolewa mwingine bado na nawafahamu wote wako na jamaa mmoja. nikawachunia. Baadaye wakaniona. Wakanifuata na kunitambulisha kwa jamaa na kusema yule ni mchumba wa ambaye hajaolewa. Lakini baadaye nilisimbitisha kuwa yule jamaa alikuwa na uhusiano na yule mwanadada ambaye ameolewa!! Na hao kinadada na watulivu tu na heshima zao.
 
Na wanawake wanaboa sana yaani unajua mtu ameoa lakini unamkubali hadi inafikia anaamua kuktambulisha kwa rafiki zake eti huyu shemeji yenu wewe bado hautaki kukanusha....hehehe perfect way to get back.
unfortunately i agree with this
 
Binamu vipi, ulishawahi kuwa introduced au? Sorry, out of mada.
Tangu nilipoamua kuanza serious relationship iliyonipelekea kwenye ndoa hadi leo hii sijawahi kuwa introduced namna hiyo coz its so obvious there is no entry. Hata before marriage sikuwahi kuchukua mume wa mtu so it was difficult kujikuta kwenye situation ya aina hii i thank God.
ni wanawake wenyewe tunaotaka haya, we unajua mtu ana mkewe bado unatoka naye kwa maana ya mahusiano deep hadi unaishia kutambulishwa hivyo, i don like it a bit.
 
FirstLady,Sasa nikupe ushauri wa bure, kutomea nje ya ndoa kumekuwepo tangu zama hizo. Usikonde wala kuomba talaka kaka akitomea nje, kwani anafanya nini?? ila asikuonyeshe na wala usijue na wewe usimfuatilie maana ukichunguza kuku hautamula. (Tunaogopa ngoma kwa sasa kila mtu amemetulia na wake basiiiiii!)
 
Tangu nilipoamua kuanza serious relationship iliyonipelekea kwenye ndoa hadi leo hii sijawahi kuwa introduced namna hiyo coz its so obvious there is no entry. Hata before marriage sikuwahi kuchukua mume wa mtu so it was difficult kujikuta kwenye situation ya aina hii i thank God.
ni wanawake wenyewe tunaotaka haya, we unajua mtu ana mkewe bado unatoka naye kwa maana ya mahusiano deep hadi unaishia kutambulishwa hivyo, i don like it a bit.

kweli Carmel lakini mie naona kama wote wana makosa mme wa mtu kutongoza /na sometimes wanakuwa waongo hawasemi kama wameoa lol🙂
 
Back
Top Bottom