Sipo
JF-Expert Member
- Jul 25, 2008
- 2,139
- 95
blue = Ni kweli hadi mahitaji ya nyumbani yanakuwa hayatimizwi ipasavyo tena , watoto hawapati mapochopocho tena na wife anaanza kumiss outing and relevent services na hizomama, haya mengine yanakuja bila kupanga mazee, sometimes mtu anakutwa kwenye situation... mwingine unakuta ni mapenzi yameisha kule hom kwa hiyo hajali... Lakini nadhani njia pekee ya kukomesha huo m-boreko ni nyie akina dada kuongoza jahazi kwa kukataa kutumika hivyo. huwa hili linatutia sana hasara akina baba na tatizo linazidi kuongezeka
Yaani unakuta kadada na kenyewe kanakeua meno kakishangilia kuliwa kama spare tyre bana!!
red = wanapenda sana CPA jamani kwani wanajua huko kwingine ni vurugu mechi