Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu uliyoiacha kitandani haikutoshi mpk uitolee mimacho ya mkaka wa watu?Siku hizi imezuka tabia wanaume waliojaaliwa down there kuvaa nguo zinazochora mikia yao na kutembea barabarani. Sijajua lengo lao hasa ni nini kutembea mkia unaning'inia na kuruka ruka. Asubuhi nimekutana na mkaka hadi nikaona aibu kwa niaba yake. Kitu kimejichora jamani na hana hata wasiwasi anafanya zake mazoezi.