Wanaume tuache hii- inaharibu Ndoa Zetu

Wanaume tuache hii- inaharibu Ndoa Zetu

Status
Not open for further replies.
Huyu 1st lady mwingine kaibukia wapi!? JF kuna 1st lady mmoja tu haiwezekani wakawa wawili 😉. Hebu tafuta jina jingine na hili la 1st lady umuachie mwenyewe original...just thinking aloud!...LOL! 🙂

Bubu Ataka Kusema

Asante for ur consern...Hebu angalia join date yangu,mimi ndie nilikuwa wakwanza kutumia jina hili isipokuwa tu kwa namna moja ama nyingine nilishindwa kuwa active kwa kipindi chote hiki...siwezi kubadili jina langu..am sorry.. I love my name.By thge way yeye ni firstlady1...mimi ndio firstlady orijino....
 
...siwezi kubadili jina langu..am sorry.. I love my name.By thge way yeye ni firstlady1...mimi ndio firstlady orijino....

Hehehe endelea kulitumia tu kumbe ni member wa masiku mengi.
Karibu tena jamvini za miaka tele??
 
Hehehe endelea kulitumia tu kumbe ni member wa masiku mengi.
Karibu tena jamvini za miaka tele??

Nashukuru sana Fidel kwa kuniruhsu kuendelea kulitumia hili jina

Habari za siku nyingi nzuri sana...vipi habari za kwako..are you ok?
 
unapompaka mkeo inamana unajipaka mwenyewe kwani nyie ni mwili mmoja ni sawa nakusema mke wangu mwizi wenye aakili tutakwita mume mwizi
 
Nashukuru sana Fidel kwa kuniruhsu kuendelea kulitumia hili jina

Habari za siku nyingi nzuri sana...vipi habari za kwako..are you ok?

Usiwe na hofu na huyo F1 nitamweleza atanielewa,
Yeah mm nipo fit kabisa hofu kwako shemeji
 
Hujakosea kabisa. Kinababa 2ache hii tabia ya kuwachora wake zetu ajili ya nyumba ndogo si nzuri, mwanamke mwenye akili ukimwambia haya lazma atakudharau.
 
Wanaume wengine ni wasanii tu.Wanaongea lolote wanalotaka ili makusidio yao yatimie.
 
Bubu Ataka Kusema

Asante for ur consern...Hebu angalia join date yangu,mimi ndie nilikuwa wakwanza kutumia jina hili isipokuwa tu kwa namna moja ama nyingine nilishindwa kuwa active kwa kipindi chote hiki...siwezi kubadili jina langu..am sorry.. I love my name.By thge way yeye ni firstlady1...mimi ndio firstlady orijino....

OOhh !! nakukumbuka mama wawili, karibu tena jamvini, kweli ulipotea mamii mpaka wamekusahau
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom