Tambara Bovu
JF-Expert Member
- Dec 19, 2007
- 585
- 141
Huyu 1st lady mwingine kaibukia wapi!? JF kuna 1st lady mmoja tu haiwezekani wakawa wawili 😉. Hebu tafuta jina jingine na hili la 1st lady umuachie mwenyewe original...just thinking aloud!...LOL! 🙂
...siwezi kubadili jina langu..am sorry.. I love my name.By thge way yeye ni firstlady1...mimi ndio firstlady orijino....
Hehehe endelea kulitumia tu kumbe ni member wa masiku mengi.
Karibu tena jamvini za miaka tele??
Nashukuru sana Fidel kwa kuniruhsu kuendelea kulitumia hili jina
Habari za siku nyingi nzuri sana...vipi habari za kwako..are you ok?
Bubu Ataka Kusema
Asante for ur consern...Hebu angalia join date yangu,mimi ndie nilikuwa wakwanza kutumia jina hili isipokuwa tu kwa namna moja ama nyingine nilishindwa kuwa active kwa kipindi chote hiki...siwezi kubadili jina langu..am sorry.. I love my name.By thge way yeye ni firstlady1...mimi ndio firstlady orijino....