Wanaume tujadili: Yule mwanaume hajapigwa kweli?

Wanaume tujadili: Yule mwanaume hajapigwa kweli?

Joined
May 28, 2020
Posts
99
Reaction score
124
Habari wadau..

Mara kwa mara naliangalia lile tangazo la mtandao wa LIVE IT, LOVE IT, Nakupata mashaka sana na yule mjuba alieacha BUKU TENI akarudi akakuta mapochopocho ya HELA YOTE. Alafu anahoji na MKEWE anamwambia Eti ameacha kununua vifurushi vya bei kubwa na chenji ndo ameongezea kwenye ile BUKU TENI ya kamaa. Really!!

Binafsi ile sababu kama angenipa mke wangu nsingemwelewa.

Vipi kwenu?
 
Lakini twende kwenye uhalisia wa manzi mwenyewe.
Jinsi alivyo mkali,jicho alivyolilegeza na sauti ya mahaba, kama wewe ungechomoka kweli?
Kuwa mkweli tu bwashee mungu anakuona?
 
Lakini twende kwenye uhalisia wa manzi mwenyewe.
Jinsi alivyo mkali,jicho alivyolilegeza na sauti ya mahaba, kama wewe ungechomoka kweli?
Kuwa mkweli tu bwashee mungu anakuona?
Yaan kama nimemweka ndan miaka mi5 hawezi nibabaisha hivyo. Kofi mbili kwenye mashavu yake, nabembeleza, af nakula tunda kimasikhara...ni mke wangu.
 
Mi huwa napenda pale 'Ndo nimetumia baba'. Ile sauti hata ukiwa na hasira inaisha hapohapo
 
Back
Top Bottom