kahawa ya njano
Member
- May 28, 2020
- 99
- 124
Habari wadau..
Mara kwa mara naliangalia lile tangazo la mtandao wa LIVE IT, LOVE IT, Nakupata mashaka sana na yule mjuba alieacha BUKU TENI akarudi akakuta mapochopocho ya HELA YOTE. Alafu anahoji na MKEWE anamwambia Eti ameacha kununua vifurushi vya bei kubwa na chenji ndo ameongezea kwenye ile BUKU TENI ya kamaa. Really!!
Binafsi ile sababu kama angenipa mke wangu nsingemwelewa.
Vipi kwenu?