kahawa ya njano
Member
- May 28, 2020
- 99
- 124
Umeenda mbali sana chief..naongelea muktadha wao(wa tangazo)Hakupigwa kwakuwa tangazo lilirekodiwa akiwa pembeni anaangalia
We acha tu kaka...
Haha zoba yule...katudhalilisha sana wanaume...Msela alitia huruma[emoji38], et "....ila mke wangu huu mzigo sio wa buku 10.."
Sanaaaa.... Na jamaa kalainikaTima![emoji3]
Mjanja mjanja sana yule dada..
jamaa kazubaishwa kiaina
Yule jamaa mi mwenyewe nimemshangaa sana ... amekubali kizembe sana
Yaan kama nimemweka ndan miaka mi5 hawezi nibabaisha hivyo. Kofi mbili kwenye mashavu yake, nabembeleza, af nakula tunda kimasikhara...ni mke wangu.Lakini twende kwenye uhalisia wa manzi mwenyewe.
Jinsi alivyo mkali,jicho alivyolilegeza na sauti ya mahaba, kama wewe ungechomoka kweli?
Kuwa mkweli tu bwashee mungu anakuona?