Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Na sauti hiyo ni kielelezo tosha kuwa huo msosi haukutoka kwenye savings za vifurushi bali 'samuwea ese'.😀😀😀Mi huwa napenda pale 'Ndo nimetumia baba'. Ile sauti hata ukiwa na hasira inaisha hapohapo