WANAUME TUJIFUNZE UVUMILIVU

WANAUME TUJIFUNZE UVUMILIVU

roja24

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2012
Posts
634
Reaction score
410
Amani ya bwana iwe nanyi nyote. Shalom, ama baada ya salam ,
Naomba niingie kwenye kisa Mafunzo based on true story. (sitotaja majina ila natimia avatar yangu) Nimeo a simple looking wife , back then was wife Material, am not sure right now!!! She has her little sister also married last year.
Ndoa ya mdogo mtu kushake na kuomba usaidizi wa kimawazo ndio ulionifungua mimi na mie kuanza kujichunguza,

Ugomvi wao ulikuwa ni kwamba Mke hutumia muda mwingi kwenye simu kwa watu 3 , 1 ni Unknow, 2 ni Binamu wa kiume, na wa 3 ni mama yake mzazi. Mumemtu anasema when she starts talking to either of the 3 she has to find privacy ie she doesnt want her husband to hear any of the conversation. Kitu ambacho husband hakuwa akikifurahia akaona aanze kuchunguza kwa kina.

Later He comes out with a shocking discovery , That unknown person who usually their talking much via phone was her Ex wife's boy friend and he was the first man to sleep with his wife before he married her. Moreover the ex has a large and historical background coz Mamamkwe alimfundisha ex from STD I - VII. Mama wa mwanamke ni mwalimu na alimpenda sana ex wa mwanae na nadhan alipenda angemuoa mwanae. Unluck walipokuwa kwenye mahusiano mpaka akambikiri lakin wakaachana after time tho wanawasiliana mpaka leo.

Kwakweli anasema amechunguza wakiwa wanaongea na hao watu 3 si chini ya lisaa moja mpaka 3 on phone. La pili ni kwamba mkemtu anabinam wa kiume ambaye nae Wanajihusisha na mahusiano ya kimapenzi na mumemtu baada ya kuwa anafuatilia kwa karibu akajua kuwa wanat..mbanaga na wanajiapiza kuto achana mpaka kifo. Jamaa baada ya ugunduzi huo akaona amwambie waliwekesawa hilo. Ukageuka ugomvi wa kufa mtu. Akaona basi ngoja amuhusishe mama mkwe , nae akazingua na kumjia juu.

Ndipo alipo niomba ushauri kama kaka yake ambaye nimeoa mkubwa yeye kaoa mdogomtu. Nikawa namzungusha kwanza sababu alonambia namie kunabaadhi yanafanana ila mie nilipuuziaga. But later na mie nikaanzisha kauchunguzi........SAD

jaman kama wewe ni muungwana MIE NAMSHAURI NINI WAKATI MIE NAMI NIPO KWENYE KATATIZO KANAKOFANANA NA HAKO. SIMU YA MIE NA MKEWANGU time of talking is 00:15 . Unkown 04:21 +whatsapp video/voice call. Mamamkwe to mwanae or mwanae to mamamkwe is 05:01 . ME SIJAMSHAURI LAKIN NAENDELEA NA UCHUNGUZI BADO NAMPA KALENDA TUU SABABU HAVE THE SAME PROBLEM. Wenye ukomavu esp wanaume MSAADA WA KIMAWAZO WA KUJENGA! Tafadhali
 
Amani ya bwana iwe nanyi nyote. Shalom, ama baada ya salam , naomba niingie kwenye kisa Mafunzo based on true story. (sitotaja majina ila natimia avatar yangu) Nimeo a simple looking wife , back then was wife Material, am not sure right now!!! She has her little sister also married last year. Ndoa ya mdogo mtu kushake na kuomba usaidizi wa kimawazo ndio ulionifungua mimi na mie kuanza kujichunguza, ugomvi wao ulikuwa ni kwamba Mke hutumia muda mwingi kwenye simu kwa watu 3 , 1 ni Unknow, 2 ni Binamu wa kiume, na wa 3 ni mama yake mzazi. Mumemtu anasema when he starts talking to either of the 3 she has to find privacy ie she doesnt want her husband to hear any of the conversation. Kitu ambacho husband hakuwa akikifurahia akaona aanze kuchunguza kwa kina. Later He comes out with a shocking discovery , That unknown person who usually their talking much via phone was her Ex wife's boy friend and he was the first man to sleep with his wife before he married her. Moreover the ex has a large and historical background coz She taught him from STD I - VII. Mama wa mwanamke ni mwalimu na alimpenda sana ex wa mwanae na nadhan alipenda angemuoa mwanae. Unluck walipokuwa kwenye mahusiano mpaka akambikiri lakin wakaachana after time tho wanawasiliana mpaka leo. Kwakweli anasema amechunguza wakiwa wanaongea na hao watu 3 si chini ya lisaa moja mpaka 3 on phone. La pili ni kwamba mkemtu anabinam wa kiume ambaye nae Wanajihusisha na mahusiano ya kimapenzi na mumemtu baada ya kuwa anafuatilia kwa karibu akajua kuwa wanat..mbanaga na wanajiapiza kuto achana mpaka kifo. Jamaa baada ya ugunduzi huo akaona amwambie waliwekesawa hilo. Ukageuka ugomvi wa kufa mtu. Akaona basi ngoja amuhusishe mama mkwe , nae akazingua na kumjia juu. Ndipo alipo niomba ushauri kama kaka yake ambaye nimeoa mkubwa yeye kaoa mdogomtu. Nikawa namzungusha kwanza sababu alonambia namie kunabaadhi yanafanana ila mie nilipuuziaga. But later na mie nikaanzisha kauchunguzi........SAD jaman kama wewe ni muungwana MIE NAMSHAURI NINI WAKATI MIE NAMI NIPO KWENYE KATATIZO KANAKOFANANA NA HAKO. SIMU YA MIE NA MKEWANGU time of talking is 00:15 . Unkown 04:21 +whatsapp video/voice call. Mamamkwe to mwanae or mwanae to mamamkwe is 05:01 . ME SIJAMSHAURI LAKIN NAENDELEA NA UCHUNGUZI BADO NAMPA KALENDA TUU SABABU HAVE THE SAME PROBLEM. Wenye ukomavu esp wanaume MSAADA WA KIMAWAZO WA KUJENGA! Tafadhali
*paragraph* chief!
 
Haya ndiyo matatizo ya KUWEKEZA UPENDO KWA MWANAMKE,
Mtakuja kuua au kujiua bure.
1. Kama mmeshakuwa na familia kubwa vumilianeni.
2. Ila endeleeni kuwasisitiza waache michezo hiyo ya aibu ktk familia.

3. Kama hamna familia kubwa
Hack simu yake ili uwe na uthibitisho kamili.
4. Tazama ustarabu mwingine.

Acha na habari za kumegewa. Miaka yote hutakuwa na amani ya moyo kuhusu mkeo.

Ukipata evidence mtimue tu.
 
napata tabu san hasa kuwaelewa hawa watu ivi kweli mkeo anafanywa na mtu mwingine bado unaomba ushauri kweli? Ata maandiko ya biblia yanaseme dhambi ya uzinzi yatosha kutengana jaman embu kuwen serious basi
 
Amani ya bwana iwe nanyi nyote. Shalom, ama baada ya salam ,
Naomba niingie kwenye kisa Mafunzo based on true story. (sitotaja majina ila natimia avatar yangu) Nimeo a simple looking wife , back then was wife Material, am not sure right now!!! She has her little sister also married last year.
Ndoa ya mdogo mtu kushake na kuomba usaidizi wa kimawazo ndio ulionifungua mimi na mie kuanza kujichunguza,

Ugomvi wao ulikuwa ni kwamba Mke hutumia muda mwingi kwenye simu kwa watu 3 , 1 ni Unknow, 2 ni Binamu wa kiume, na wa 3 ni mama yake mzazi. Mumemtu anasema when she starts talking to either of the 3 she has to find privacy ie she doesnt want her husband to hear any of the conversation. Kitu ambacho husband hakuwa akikifurahia akaona aanze kuchunguza kwa kina.

Later He comes out with a shocking discovery , That unknown person who usually their talking much via phone was her Ex wife's boy friend and he was the first man to sleep with his wife before he married her. Moreover the ex has a large and historical background coz Mamamkwe alimfundisha ex from STD I - VII. Mama wa mwanamke ni mwalimu na alimpenda sana ex wa mwanae na nadhan alipenda angemuoa mwanae. Unluck walipokuwa kwenye mahusiano mpaka akambikiri lakin wakaachana after time tho wanawasiliana mpaka leo.

Kwakweli anasema amechunguza wakiwa wanaongea na hao watu 3 si chini ya lisaa moja mpaka 3 on phone. La pili ni kwamba mkemtu anabinam wa kiume ambaye nae Wanajihusisha na mahusiano ya kimapenzi na mumemtu baada ya kuwa anafuatilia kwa karibu akajua kuwa wanat..mbanaga na wanajiapiza kuto achana mpaka kifo. Jamaa baada ya ugunduzi huo akaona amwambie waliwekesawa hilo. Ukageuka ugomvi wa kufa mtu. Akaona basi ngoja amuhusishe mama mkwe , nae akazingua na kumjia juu.

Ndipo alipo niomba ushauri kama kaka yake ambaye nimeoa mkubwa yeye kaoa mdogomtu. Nikawa namzungusha kwanza sababu alonambia namie kunabaadhi yanafanana ila mie nilipuuziaga. But later na mie nikaanzisha kauchunguzi........SAD

jaman kama wewe ni muungwana MIE NAMSHAURI NINI WAKATI MIE NAMI NIPO KWENYE KATATIZO KANAKOFANANA NA HAKO. SIMU YA MIE NA MKEWANGU time of talking is 00:15 . Unkown 04:21 +whatsapp video/voice call. Mamamkwe to mwanae or mwanae to mamamkwe is 05:01 . ME SIJAMSHAURI LAKIN NAENDELEA NA UCHUNGUZI BADO NAMPA KALENDA TUU SABABU HAVE THE SAME PROBLEM. Wenye ukomavu esp wanaume MSAADA WA KIMAWAZO WA KUJENGA! Tafadhali
kama ndoa yao ilifungwa kanisani/msikitini mwambie aende awaone wazee watamshauri cha kufanya maana ndoa aisee sio kitu kidogo.

kama ni wapenzi tu...huyo mwanamke hafai hata kidogo.
 
Okey i will do that bro, thanks
 
napata tabu san hasa kuwaelewa hawa watu ivi kweli mkeo anafanywa na mtu mwingine bado unaomba ushauri kweli? Ata maandiko ya biblia yanaseme dhambi ya uzinzi yatosha kutengana jaman embu kuwen serious basi
Bro msimamo wako ni sawa kabisa na ule ulokuwa wangu, Lakini Omba yasikukute ongea hivo omba tu yasikukute . Ofcourse were serious
 
Back
Top Bottom