Wanaume tukome kuwekeza kwa mahawara!

Wanaume kwa jinsi walivyo mahodari kukanusha, utasikia............."Hii meseji itakuwa ni Wrong Number"

huo ndo utaratibu mzee,hata ndugu yangu ameruka futi mia.
 
Maskini!! yaleyale jana Mamaa Kigogoalikuja na thread hapa aliuliza " HIVI WANAUME MMMELOGWA" ? nadhani jibu litakuwa ndio hili.
 
Duuu! ndugu yetu huyo yamemkuta..na na kwa mapenzi ya mungu amebahatika kubambwa na mkewe kabla jamaa hajaharibikiwa zaidi kwa kuwekeza zaidi kwenye ngono zembe! nadhani ataadabishwa vya kutosha! Alidhani anabanjua kumbe anabanjuliwa! Big up shemeji wa ukweli
 
'wanaume tumeumbwa mateso...kuhangaika...' alijiimbia marehemu TX Moshi William (RIP).

Ila sio haya bana mengine ni ya kujitakia kabisa
We mkeo na watoto wanallalia dagaa nyumbani kama msosi ila nyumba ndogo inakula kuku
 
'wanaume tumeumbwa mateso...kuhangaika...' alijiimbia marehemu TX Moshi William (RIP).
Mateso gani ya kujitakia na wewe? Hawara ni mke wako wa ndoa mpaka uhangaike nae hivyo?
 
Lakini kumbuka kuna theory inayosema usiweke mayai yako yote kwenye kapu moja. Nakumbuka niliambiwa na mwalimu wangu wa portfolio Analysis

Hebu fafanua kidogo juu ya hiyo theory...
 
Maskini!! yaleyale jana Mamaa Kigogoalikuja na thread hapa aliuliza " HIVI WANAUME MMMELOGWA" ? nadhani jibu litakuwa ndio hili.

sio kurogwa Laura,ni mapungufu tu ya kibanadamu,si unajua mwanaume ana vichwa viwili na kimoja wakati kinafanya kazi kingine huwa 'offline'?
 
Mateso gani ya kujitakia na wewe? Hawara ni mke wako wa ndoa mpaka uhangaike nae hivyo?

taratibu basi SL ,sisi ni viumbe dhaifu kwenye masuala yanayogusa moyo.
 
[h=6]PEOPLES!!!!!!!!!!!!!!!!!!
when u are single people ask about boyfriend/girlfriend
when u hv fiance,they ask about wedding
when u are married,they ask about a baby
when u hv a baby,they ask for more babies
when u break up/divorced,they ask WHY!!!?
PEOPLES!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!![/h]Hili mwanaume aepuke maswali mengi do
 

live and let live....
 
Hapo kwenye red:Bishanga abbashaija!Kweli ndugu yako hana maana.Na hao wadada wanaopenda vitu vikubwa ni hatari hakimaliza tu kununua hivyo vitu na penzi ndo kwisha kabisa.
 

mwonee huruma ndugu yangu,yuko katika kipindi kigumu maana shemeji utadhani faru aliyejeruhiwa.
 
Hakuna tatizo kabisa, hiyo pesa inayoombwa ni ya kufungulia mradi, amewezeshwa kujiajiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…