Wanaume tukome kuwekeza kwa mahawara!

Haya nambie sangapi nije kuchukua hela ya viti na draya?.. Usisahau pia ulisema utaninunulia na mawigi ya kuanzia..
wee si una mume wako mkulima wa Alizeti? Sidanganyiki, hakuna draya wala mbunge wa draya.
 
hiyo ni msg tu.je angekua amempa hela?nyie wasichana mnasema wanaume ni waongo ndo maana nasema hivi alkuwa anamdanganya ili amchome tu basi.au ni mladi wa mwanaume ambao ameamua ampe hawala wake ausimamie coz huyo mwanamke wake wa nyumba kubwa haaminiki.kwa ufupi hiyo nyuma hakuna maelewano.wanawake wenye akili hawakagui simu za wapenzi wao ili kulinda ndoa.mia
 
Anataka ajiimarishe kwanza nyumba ndogo halafu ndiyo aje kwa kasi nyumbani.
 
"Tujihadhari na tujiepushe na zinaa kwani ni nuksi kubwa na inaleta ufukara,na unaivua imani yako kama unvyovua nguo,jee uko tayari kujiona watembea uchi@basi hivi ukifanya ni sawa na unaetembea uchi mana unaivua imani na mwisho utajikuta ni ibilisi huna ulichobakiwa nacho stara ishakuondoka.
tuache zinaaa
tuogope zinaaa
tuikimbie zinaa
tujiepushe na zinaa
tuusiane kuhusu uchafu wakuzini
tumuogope M.Mungu na moto uwakao kwa ukali."
Source: Mimba Kabla Ya Ndoa - Zanzibarwebsite
 
Ngoja afanye kila kitu halafu aachwe.... Hawana huruma hao..
 

tawele.tumekusikia mama.
 

wasikurubie zinaa
 

hii kali sana aisee,lakini du Mkuu,mashine ya mzee mkaicharanga bakora? Angewafia je?
 
Mambo ya mpango wa kando ni mabaya sana, na ukikaa kifala unagezwa ***** mtozeni a.k.a ATM nyumba ndogo nooouuuumar
 
Mambo ya mpango wa kando ni mabaya sana, na ukikaa kifala unagezwa ATM. nyumba ndogo nooouuuumar
 

kinamama mbona hamnijibu,hakuna mdada humu mmu ambaye ni hawara wa mtu?
 

au vipi mkuu? Si unajua tena madhara ya chokonoa chokonoa?
 
Hakuna atakaye kujibu kwakuwa it's nothing to be proud of. Ndio maana hata kutembelewa ni mida ya night kwa kujiiba iba.
Wahusika wote ke/me nadhani nafsi huwa zinawasuta ni shetani tu kawapandia wanashindwa ku control tabia zao; but deep inside wanajua wafanyacho ni kitu kibaya.
kinamama mbona hamnijibu,hakuna mdada humu mmu ambaye ni hawara wa mtu?
 
Mambo ya mpango wa kando ni mabaya sana, na ukikaa kifala unagezwa ***** mtozeni a.k.a ATM nyumba ndogo nooouuuumar

lakini ndo hivo kila kukicha watu 'wanawekeza' kwenye small house,kina mama wanapiga kelele weeeeee but where!
 
duh! Kweli fundi bomba kaamua kutengeneza bomba..
 

hahahahaa lakini ya kwetu kinababa mbona tunakiri humu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…