Wanaume tukome kuwekeza kwa mahawara!

Nikihonga sna konyagi na chips kavu............ tosha sana, sasa huko kwa milioni mbili sitafikaga


 
Mmgekuwa mnatumia real ID nakuhakikishia hamna hata mwanaume mmoja ambaye angekiri humu. Si mnaona mwenzenu alikiri wife kaanzisha uzi mwenyewe kaingi mitini hakuja kujibu tuhuma.


Haya mambo ni ya aibu kwa kila mtu ambaye ana imani ya dini. Japo sipingi wapo wachache ambao hawajuhi kama kuna kitu kinaitwa dhambi.


hahahahaa lakini ya kwetu kinababa mbona tunakiri humu?
 
duh! Kweli fundi bomba kaamua kutengeneza bomba..
 
Umeonaeeeee!
Nimeona mpendwa! Hawa waume zetu hawajui kama wake zao kuna mda tunatembea na mabomu...lol we waache tu waendelee kuwanunulia mafundi bomba draya, yakiwakuta ya kuwakuta tusilaumiane!
 
Hapa ndo mnaponishangaza....

Kule kwenye kuacha wosia, mmesema akina mama "nyumba ndogo/hawara" wawe wajanja...
sasa hapa mdada amekuwa mjanja, mnaweka tena lawama

Aisee mwenye kisu kikali ndo hula nyama, afterall mtu si wako, ni bora amtumie tu kama yeye anavyotumika
 
<br />
<br />
hayo ndo makontradikshens Mkuu,si unajua kila mwamba ngozi huvutia kwake? Hawa ndo zao ndugu yangu.
 

nakupata Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…