CARIFONIA
JF-Expert Member
- Aug 17, 2013
- 616
- 1,453
Siku ya Wapendanao, wewe ndiye pekee unayemletea zawadi.
Siku yako ya kuzaliwa, bado wewe ndiye unayemletea zawadi.
Siku yake ya kuzaliwa, bado ni wewe unayemletea zawadi.
Krismasi ikifika, wewe pekee ndiye unayetoa zawadi.
Siku ya kumbukumbu ya uhusiano wenu, bado wewe pekee ndiye unayetoa zawadi.
Na kila siku nyingine, bado ni wewe tu unayemletea zawadi.
Lakini hata mara moja hujawahi kujiuliza kwa nini unajifanya mjinga. Badala yake, umechukulia kuwa ni sawa.
Usirudie upuuzi huo mwaka huu.
Kama anakupa zawadi, mpe na wewe.
Kama anatumia pesa juu yako, tumia pesa juu yake pia.
Kama anakwambia hana hela, mwambie na wewe huna hela.
Mwaka huu, jifunze kurudisha nishati ileile unayopewa.
Si zaidi! Si chini!