mbisom ramos
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 811
- 396
Alikua na mihemko wakati anaongeaHabari wanabodi...
Kwenye kumbukumbu mzee wa kaya alisema ikifika tarehe 1/07/2017 kama bado uko mjini wewe ni mwanaume... Hebu tag wanaume wote tulioko mjini mpka leo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Alisema tulioko dsm tutarudi kijijini lakin bado wanaume tunakomaa na jiji[emoji3][emoji3][emoji3]Mjini wapi??
Hahaha[emoji3][emoji3][emoji3]Alikua na mihemko wakati anaongea
Mwendo wa kukomaa tuu mpaka kielewekeMwendo mdundo tu.
Aseme kauli nyingine
[emoji16][emoji16][emoji16]Tupo tunakomaaa na jiji, ila wapo ambao wamerudi
Hakuna kurudi nyuma ni kusonga mbele tuuTupo tunakomaaa na jiji, ila wapo ambao wamerudi
HahahaNdio kwanzaaaa napiga hela town haondoki MTU aapa!!!! Labda aondoke yeye
Ahahahaha, nikadhani na mikoa mingineAlisema tulioko dsm tutarudi kijijini lakin bado wanaume tunakomaa na jiji[emoji3][emoji3][emoji3]
Hapana mkuu...walioko jijiniAhahahaha, nikadhani na mikoa mingine
[emoji3][emoji3][emoji3]Nipo bar Mbezi beach kila mtu anasema shikamoo mkulu. Alikua kweli hakuna mtoa ofa. Hahahahaha
Mkulu alisema hivyWeweeeee nani aende kijijini....!!??