mbisom ramos
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 811
- 396
Habari wanabodi...
Kwenye kumbukumbu mzee wa kaya alisema ikifika tarehe 1/07/2017 kama bado uko mjini wewe ni mwanaume... Hebu tag wanaume wote tulioko mjini mpka leo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]